Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc iv ulikwama wapi sasa? Wee flowz zote izi bado ukabwagwa, khaaaah hebu fanya fanya m [emoji672], hahah
 
Sasa bado upo shule mwandiko unapotea,ukirudi mtaani si mwandiko utakufa kabisa[emoji23][emoji23]

Njoo nikugawie bure kabisa..
Mwandiko wangu kuna namna natamani uwe ila ndio basi tena nashindwa.

View attachment 2042705
Hkl wenzangu naomba mnisaidie kama mna idea kidogo..haya ni manini tena?

[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…