Selfika na JF: Snap it. Show it

Baba chukua wimbo huo..NIJAZE
Ni wimbo wangu bora zaidi wa muda wote.

Siku moja nipeleke anapoabudu huyu mtumishi mwenzetu John Lisu..tukaabudu naye pamoja.
Naam, wimbo umejaa uwepo wa Bwana.

John Lissu anasali kanisa gani mama mtumishi? I mean mkoa gani?

Ahsante kwa hii 'singo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…