Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂keki unaweza ichukulia poa ila ina umbua mbaya siku ile niliaibika sana vitoto vya dada zangu vinakuja jikoni vinachungulia Odo keki bado kumbe kitu ugaliii😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]keki unaweza ichukulia poa ila ina umbua mbaya siku ile niliaibika sana vitoto vya dada zangu vinakuja jikoni vinachungulia Odo keki bado kumbe kitu ugaliii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena ilikuwa ya graduatuon ya watu.
Vile vipande vya kula tu na chakula.
Imefika asbh hakuna kinachoeleweka,,hapo nilichochea weee,ndio kwanza inafurumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyeupe vilevile.
Mama akawa ananisaidia kuongeza moto akijua itaiva,,
Dada ndio anacheeeka mjinga yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi nililia.

Kiherehere changu,hata kupika sijui nikajichanganyia tu,jaza blue band.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jitahidi mpendwa Sambusa kidogo rahisi kujua
 
Halafu kuna kitu niliagizwa huko ila najisikia uvivu sana


Ukipata muda njoo uchukue hapa kimara ,
Nitawaachia hapo mwendokasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] waachie nitapitia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…