LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,367
- 6,487
Umeacha hii ndude za enzi zako. Now unaendesha midude miyutong hahahahaha. Heshima yako.mkuu..Enzi zetu....wengi wenu hapa bado hamjazaliwa...
View attachment 2034596
Unatandika kwenye kichwa tuu. Wewe kiboko[emoji23][emoji23][emoji23] napenda kulala kitanda kilichotandikwa lakini mvivu wa kutandika adi mwisho
😂😂😂😂Uweke kwanza selfie ndio usepe, kwanza kumepoa, kiranja wa zamu nipo[emoji23]
[emoji22][emoji22][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]hebu hukooonilikua nina miaka 5
Habari za asubuhi Mzigua90Usiku mwema kwenuView attachment 2038828
Mkuu umejificha sana [emoji2297][emoji2297]
Mjerumani anatuliza sana akili kwenye kazi zake yani ni fireMkuu nina imani hapo kwenye toyota umeiexclude LC VX.R V8. Hapa mjep alitulia asee.
Gari inategemeana na dereva ndo maana kuna mda passo anaweza mpita pradoKabisa mkuu japo kuna Bimmer maniacs huwa hawataki kukubali hili. Kuna uzi kule wa Bimmer vs LC V8 jamaa alipost video anashindana na V8 yeye ndiyo alikuwa kwenye Bimmer V8 ikampita hadi leo ule uzi bado unatembea watu wanabishana tu Bimmer maniacs wameuvamia hatari.
Wenye mahaba na Bimmer watakuambia sijui oo kuna BMW X7 na 7 series zimeshazizidi hizo V8 kwenye kila kitu imagine eti kila kitu (mimi nakataa hapo kwenye kila kitu). Hata mimi kwa mjerumani naona hakuna anayemfikia BMW siyo MB siyo VW ila kwa LC tuseme ukweli mjapani kakataa kuwa mnyonge!
Oh basi nishatupia nyingine jana[emoji28]Nimekwambia ile nilipoteza bana [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]shori zako we save picha za gugoOg yake uliyoweka mwanzo ninayo.
Nina kumbukumb[emoji2]
Hivi kumbe ehYes ndy maana tunavaa makoti mkuu[emoji28].Kuna muda mambo uharibika kbs lkn koti linaziba udhaifu
Mmmhnilikua nina miaka 5
[emoji38][emoji23][emoji23]shori zako we save picha za gugo
Wache weee beberu mwitu.