Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo kote kote mkuu wangu. Kule kwenye likes nilishatoka mazima. Huwa nasaka sehemu salama ambako kuna upendo, vicheko na furaha. Huku kulikuwa salama sema tu hivi karibuni kuna pepo la ushoga limeng'ang'ania halitaki kuondoka na wananzengo wanaporomosheana matusi hatari. Kuna haja ya kupumzika kidogo mpaka kutakapotulia. Kama kuna chimbo jingine ambako kuna furaha na upendo kama ilivyokuwa hapa nielekeze [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiih, yaan niko hoi kwa kucheka hapa khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukipata chimbo nitag nami nikuje Hapa chefuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shos kwanini msiwakataze hawa watu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huku nako unadhani kunaeleweka?
Huku watu wameng"ang"ana kuanzisha mambo ya ushoga.
Utatamani urudi kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Tunaba uselfike Dada yetu[emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nacheka km chizi mwenzenu khaaaaah
 
Rudia kusoma huu mstari kwa utulivu ..

Kwa utashi na hekima kuu una nafasi adhimu ya kufanya hili liwezekane..

Mjukuu ni utashi na hekima tuu.. Sio uonevu wala si kutafuta mkosaji ...ni UTASHI na ni HEKIMA.. Haya mawili huepusha shari nyingi.. Ukiweza YAZINGATIE.. nimetumia neno UKIWEZA ambalo bado linaturudisha kwenye UTASHI
Ahsante babuuu yangu kipenzi, nimekuelewa. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila angle kuna mwamba, just imagine naaambiwa mie mwamba wa ktk kupiga spana na kupangua hoja kwenye mada flani iv, afu naaambiwa nafanya hivyo huku natabasamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cariha ni kiboko yule, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cariha amesharudisha majeshi uzini.

Ngoja nikaendelee kucheka.
 
Back
Top Bottom