Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikupe nikuongezee kwenye zako
Zangu za nitosha mwaya[emoji120]

Kwetu ni kaulemavu yaani[emoji116]

Kadogo kangu[emoji116]
IMG_20211209_230721.jpg
 
Ata mimi nililiona humu ila naona wengine wanaona poa ,nilichofanya nikawaignore post zao sioni ila hiz siku imekuwa too much walishawah kunikimbiza kwenye hili jukwaa
Hata mimi nimeshaiginoa watatu mpaka sasa ila wakikwotiwa si bado unaona tu kinachoendelea?
 
Aisee wamecharuka hao.

Bora tupumzike huku.
Huku nako unadhani kunaeleweka?
Huku watu wameng"ang"ana kuanzisha mambo ya ushoga.
Utatamani urudi kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Tunaomba uselfike Dada yetu[emoji847]
 
Huku nako unadhani kunaeleweka?
Huku watu wameng"ang"ana kuanzia mambl ya ushoga.
Utatamani urudi kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Tunaba uselfike Dada yetu[emoji847]
Heeeeee.

Ushoga tena?

Halafu sijaingiaga humu napitaga tu.
 
Babuuu unanionea sasa wallah iv, mbna mie nshakua cool na mambo yangu tangu mda, c we apo na huyo mwenzio ndo mmeleta hizo mada hapa tena, sijui chimao na huyo Congolese sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa mie nimefanyaje tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudia kusoma huu mstari kwa utulivu ..

Kwa utashi na hekima kuu una nafasi adhimu ya kufanya hili liwezekane..

Mjukuu ni utashi na hekima tuu.. Sio uonevu wala si kutafuta mkosaji ...ni UTASHI na ni HEKIMA.. Haya mawili huepusha shari nyingi.. Ukiweza YAZINGATIE.. nimetumia neno UKIWEZA ambalo bado linaturudisha kwenye UTASHI
 
Back
Top Bottom