Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wamwung"ang"ania hadi imekuwa kero.

Na kwenda kuanzia mada zao za ushoga nje na uzi huu hawataki.


Tunaomba uselfike
๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ
 
Mkuu dimpozi ni ulemavu,alafu huyo jamaa hayuko Sawa,na kumpost hapa utaamsha Ile mada yetu pendwa๐Ÿ˜‚

Mr blue anazo,quick rocka anazo lkn ushasikia wanajisifia dimpozi na uhandsome km huyu jamaa?..yes wagonjwa wananipenda wanasema doctor handsome๐Ÿ˜…
 
Kuna uzi huko wanaume wanalialia sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi wakarabatiwe dawati lao la jinsia aisee.
Huu mwaka uishe tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana km heka heka na matukio yameshatosha kwa kweli lol.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duhh! Kumbe we gay?

Alikutongoza?
 
Na wewe unataka uende kulia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mwamba wetu huko cariha anapangua hoja za wanaume wanaolialia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila angle kuna mwamba, just imagine naaambiwa mie mwamba wa ktk kupiga spana na kupangua hoja kwenye mada flani iv, afu naaambiwa nafanya hivyo huku natabasamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cariha ni kiboko yule, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waongezee nyingine [emoji1787][emoji1787]

Honestly me mnaniboa sana ni vile siwezi changia hizo mada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wii vumilia tyuuh nawee lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ