Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Good morning...
Morning too!
giphy.gif
 
Mkuu kwenye dini si nilishakuonesha andiko linalosema kwamba wazinzi na wafiraji wote hawataingia mbinguni? Sasa mbona kama unataka turudie this thing over and over again?

Mimi nishasema sikubaliani na ushoga! Lakini hadi kesho nitashangaa mtu anayeona ushoga ni dhambi mbaya zaidi kuliko hata kuua kiasi cha kuipa hiyo dhambi daraja lake!

Mkuu kila mtu abaki na anachoamini wewe kama ni mzinzi na unajiona uko safe zaidi kuliko shoga poa! Na hata ukiona ni sawa kumnyonga au kumchinja shoga afie mbali fresh tu!

Na mimi nabaki na msimamo wangu kwamba kama mimi ni mlevi napaswa niache ulevi na vile vile nikimuona shoga napaswa nimuambie aache ushoga kwa kuwa zote ni dhambi!

Kwa maana biblia imetutaka kutoa kibanzi kilichopo machoni petu kabla ya kutoa boriti kwenye macho ya watu wengine so naomba nifunge huu mjadala hivyo! Fainali judgement day!
Naona rafiki yangu unahangaika na watu waliohalalisha dhambi za kwao kutoziita dhambi ila za wengine wanaziona dhambi.
Haya mahalalisho bila shaka bangi ilihusika.

Okoa nguvu na muda wako.
 
Back
Top Bottom