Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,381
Njoo nikupe dimpozi zangu..Mimi wa kiume sina kazi nazo[emoji51][emoji51][emoji7][emoji7]kwani kwenda kutoboa dimpoziii sh. Ngapi jamanii na mimi nikwende mimi navyo vya pendeni ya mdomo sivipendiii[emoji51]
Aje nimpe zangu me sizitakiMambo yote Turkey [emoji3060][emoji3060]
hahaha...disemba hiibado hujalala???? Naona mida ya Vijana wa zamani ishatimia
Leo selfika hapajachangamka !! Namimi situmi ngoja niisevu tu selfie yangu! Muwe na usiku mwema![emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wameru mnafanana sn..unafanana sn na wifi yako hapa nyumbaniNina chogo hivi afu kusuka najifanya sitaki? Lenie ninaniliu basi ata nianze kusuka kwanini unaniwacha hivi!! [emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2036582
Teh kwanini asee [emoji1][emoji1]Mdada japokuwa nacheka hapa JF lakini nakuogopa ujue[emoji125][emoji125][emoji125]
Haha mlikua wapi na huyo msukuma SHIMBA YA BUYENZE jamani hapakua poa hapa nikaisevu tu itulie. Hapa kulijaa Vijana na mada yao ilehahahaha... hebu pachangamshe kwa selfie moja matata sana ...kwa niaba ya vijana wa zamani
hahahaha..
Ghetto man.Enjoying my tende juice [emoji2][emoji2]View attachment 2036499
Utatukosha zaidi ukitupia selfika yako.Nafunga ukurasa wa mambo yasiyotakiwa humu, kuanzia muda huu hadi siku ya mwisho ya uhai wangu, nitakuwa mkimya ndani ya huu uzi hata nichokozwe vipi,
Samahan kwa waliokwazika sisi ni binadamu sote tuna mapungufu, kwahiyo tuvumiliane.
Uzi wa selfika huu, na tuselfike zaidi.
[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
Yeah man,Ghetto man.
Haha mlikua wapi na huyo msukuma SHIMBA YA BUYENZE jamani hapakua poa hapa nikaisevu tu itulie. Hapa kulijaa Vijana na mada yao ile
Haha mlikua wapi na huyo msukuma SHIMBA YA BUYENZE jamani hapakua poa hapa nikaisevu tu itulie. Hapa kulijaa Vijana na mada yao ile
hahahaha... umeamkaje rafiki tupia kabla hawajaa vijana wa kisasaHaha mlikua wapi na huyo msukuma SHIMBA YA BUYENZE jamani hapakua poa hapa nikaisevu tu itulie. Hapa kulijaa Vijana na mada yao ile
Assalaam