Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 7, 2021 #121,881 mawardat said: View attachment 2036617 Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nimeangalia hii picha nikajikuta napiga muayo na mimi hapa😃
mawardat said: View attachment 2036617 Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nimeangalia hii picha nikajikuta napiga muayo na mimi hapa😃
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 7, 2021 #121,882 Saint Anne said: Mtakula madagascar tu, Tanganyika ni ya kwangu Katika vitu watu wa mikoa yetu wanajitahidi basi ni kukirimu wageni. Yaani wanaweza kumpa mgeni sufuria zima la nyama,wao wapate kidogo. Click to expand... Wee kumbe ni kweli nasikiaga hivyo,
Saint Anne said: Mtakula madagascar tu, Tanganyika ni ya kwangu Katika vitu watu wa mikoa yetu wanajitahidi basi ni kukirimu wageni. Yaani wanaweza kumpa mgeni sufuria zima la nyama,wao wapate kidogo. Click to expand... Wee kumbe ni kweli nasikiaga hivyo,
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 7, 2021 #121,883 mawardat said: Kitai panakuhusu Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app Click to expand... sitaki huko mie.
mawardat said: Kitai panakuhusu Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app Click to expand... sitaki huko mie.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Dec 7, 2021 #121,884 Lenie said: Hahaa serious eti, utasuka badae badae ukianza kuzeeka😃 Click to expand... 🤣 uzeeni nitasukaje wakati natakiwa kuwa busy na bustani
Lenie said: Hahaa serious eti, utasuka badae badae ukianza kuzeeka😃 Click to expand... 🤣 uzeeni nitasukaje wakati natakiwa kuwa busy na bustani
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 7, 2021 #121,885 Saint Anne said: Kuna mtu kapost hiyo meme na haya maneno hapa chini Husband material ananyoa upara Ukiona mtu ana nywele nyingi kama za mwanamke huyo ni tapeli Click to expand... kwa kweli.
Saint Anne said: Kuna mtu kapost hiyo meme na haya maneno hapa chini Husband material ananyoa upara Ukiona mtu ana nywele nyingi kama za mwanamke huyo ni tapeli Click to expand... kwa kweli.
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 7, 2021 #121,886 Emiir said: View attachment 2036618 Sahv walau nimepona ukichaa! Click to expand... Aki haujapona vizuri😂😂
Emiir said: View attachment 2036618 Sahv walau nimepona ukichaa! Click to expand... Aki haujapona vizuri😂😂
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 7, 2021 #121,887 Lenie said: Nimeangalia hii picha nikajikuta napiga muayo na mimi hapa Click to expand... mida yenyewe hii aaaaaah Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Lenie said: Nimeangalia hii picha nikajikuta napiga muayo na mimi hapa Click to expand... mida yenyewe hii aaaaaah Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 7, 2021 #121,888 Depal said: Asalaleeee... Huo ni ushamba sio ujanja. Click to expand... Mjini huu ni ujanja wii au hujui wee?
Depal said: Asalaleeee... Huo ni ushamba sio ujanja. Click to expand... Mjini huu ni ujanja wii au hujui wee?
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 7, 2021 #121,889 Depal said: 🤣 uzeeni nitasukaje wakati natakiwa kuwa busy na bustani Click to expand... Hahaaa basi utaweka ngata
Depal said: 🤣 uzeeni nitasukaje wakati natakiwa kuwa busy na bustani Click to expand... Hahaaa basi utaweka ngata
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 7, 2021 #121,890 Depal said: Em soma hapa Lenie Nmekaa chini nalia Click to expand...
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Dec 7, 2021 #121,891 cocastic said: Mjini huu ni ujanja wii au hujui wee? Click to expand... Nimechelewa sana kuja mjini.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 7, 2021 #121,892 Saint Anne said: Ukute amekuzidi hadi wewe hicho kitita cha nywele Ni matapeli Ila watunga meme Mungu anawaona Click to expand...
Saint Anne said: Ukute amekuzidi hadi wewe hicho kitita cha nywele Ni matapeli Ila watunga meme Mungu anawaona Click to expand...
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 7, 2021 #121,893 cocastic said: sitaki huko mie. Click to expand... Si unajua vile mfungwa hachagui gareza Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
cocastic said: sitaki huko mie. Click to expand... Si unajua vile mfungwa hachagui gareza Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Dec 7, 2021 #121,894 Lenie said: Hahaaa basi utaweka ngata Click to expand... Kwa karne hii hapana kwa kweli
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 7, 2021 #121,895 Chaliifrancisco said: cocastic una wenge kinyama yani inaonekana kama una msela hakupelekei moto shazi anakuwashia tu mabua. Nikama vile kipururu kimejaa vichupa shente mpaka umewehuka. Tuliza wenge mtoto wa kike una kiraru mbaya mbovu mpaka unakata stimu asee. Click to expand... hivi jaman kwa comment km hii mtu akijibu vibaya anaonekana mkosaji? Ifike hatua huyo cocastic mumuache apumue bas mbna mnampa heka heka iv? Ahsante buddy kukaa kimya pia ni jibu, ubarikiwe sana.
Chaliifrancisco said: cocastic una wenge kinyama yani inaonekana kama una msela hakupelekei moto shazi anakuwashia tu mabua. Nikama vile kipururu kimejaa vichupa shente mpaka umewehuka. Tuliza wenge mtoto wa kike una kiraru mbaya mbovu mpaka unakata stimu asee. Click to expand... hivi jaman kwa comment km hii mtu akijibu vibaya anaonekana mkosaji? Ifike hatua huyo cocastic mumuache apumue bas mbna mnampa heka heka iv? Ahsante buddy kukaa kimya pia ni jibu, ubarikiwe sana.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 7, 2021 #121,896 Saint Anne said: Siku nitakayoharibu vioo nadhani ndio itakuwa mwisho wa kutumia hizi simu. Siwezi toa laki mimi kutengeneza kioo..heri ninunue itel ya laki. Click to expand... wee ni bakhiri sana kwan cc?
Saint Anne said: Siku nitakayoharibu vioo nadhani ndio itakuwa mwisho wa kutumia hizi simu. Siwezi toa laki mimi kutengeneza kioo..heri ninunue itel ya laki. Click to expand... wee ni bakhiri sana kwan cc?
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Dec 7, 2021 #121,897 Lenie said: Aki haujapona vizuri Click to expand... Nimepona bana!!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Dec 7, 2021 #121,898 mawardat said: usinisemee babu yangu sawa? Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app Click to expand... Niko macho. Asikulaghai huyo Ostaadh! Kwa nini unataka ukawe mke wa tatu? Na uzuri wako wote huo? Why?
mawardat said: usinisemee babu yangu sawa? Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app Click to expand... Niko macho. Asikulaghai huyo Ostaadh! Kwa nini unataka ukawe mke wa tatu? Na uzuri wako wote huo? Why?
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Dec 7, 2021 #121,899 SHIMBA YA BUYENZE said: Niko macho. Asikulaghai huyo Ostaadh! Kwa nini unataka ukawe mke wa tatu? Na uzuri wako wote huo? Why? Click to expand... Huyu ostadhi nilishamkataaga kitambo sana Akaendelee kuchimba chumvi Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
SHIMBA YA BUYENZE said: Niko macho. Asikulaghai huyo Ostaadh! Kwa nini unataka ukawe mke wa tatu? Na uzuri wako wote huo? Why? Click to expand... Huyu ostadhi nilishamkataaga kitambo sana Akaendelee kuchimba chumvi Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Dec 7, 2021 #121,900 Depal said: Umelikubali ilo chogo pipi?! Click to expand... Wala kwenye chogo sikufika. Nisikudanganye mjukuu
Depal said: Umelikubali ilo chogo pipi?! Click to expand... Wala kwenye chogo sikufika. Nisikudanganye mjukuu