Selfika na JF: Snap it. Show it

Kapime afya ya viungo hivyo, ujue hali yako, mara moja kwa mwaka siyo mbaya ujue hali yako na mustakabali...jamaa yangu mmoja huwa anasema hawezi kuja kufa ini, figo, moyo, mapafu vyote vizima acha ale gambe na fegi ikifika imefika
Yeah walevi wengi huwa tunajifariji hivyo daah [emoji3][emoji3]
 
Kumbe unapenda vitu vitamu laini! Nikija Mbagala nitakununulia utakula hadi meno yafanye uyeye!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Ofcourse man 😊.....ila usiniletee nyingi nisije kunona mpaka nikashindwa kugombea daladala maana ......🥴 😁
 
Hahaa kweli hujapona vizuri mkuu [emoji23][emoji23]
 
Nendeni basi mkagombane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatusumbua kwenye uzi wetu.


Wale wote wenye vita nashauri fungueni uzi mkazinyuke huko,,,vita yenu msipiganie selfika.

Resistance zenu kazifungulieni uzi.
Naunga mkono hoja, waje tupigane tena nje ya hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nifikie 76 ili nigundue nn? Au kwa bahati gani? Hapa tu naponea chupu chupu kupigwa mawe na kutupwa mtoni, [emoji23][emoji23][emoji23]

Uzee n baraka sana tena mno, furahia huo uzee ni bahati sana hiyo
[emoji482][emoji482]
 
Nafunga ukurasa wa mambo yasiyotakiwa humu, kuanzia muda huu hadi siku ya mwisho ya uhai wangu, nitakuwa mkimya ndani ya huu uzi hata nichokozwe vipi,
Samahan kwa waliokwazika sisi ni binadamu sote tuna mapungufu, kwahiyo tuvumiliane.

Uzi wa selfika huu, na tuselfike zaidi.

[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…