Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajifanya wee kipofu hujaona mtu aliye screenshot comment zangu tena hata kutoka ktk nyuzi zingine? Au unafiki unakusumbua?
Mie sio chizi, nna akili zangu timamu na niko vizuri ktk fahamu ya ubongo wangu,

Hebu npumzishe kwan, km heka heka na matashititi hapa ndo pake, mtachoka nyie, mkinichikoza tyuuh napita mule mule na silazii damu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, hadi mbavu zinauma, ko hayo yote unayajua? Tena navalia na kijora changu pambeeee naenda kusasambua had nyonga zijute kukaa kiunoni kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu mie sio mgomvi wala mkorofi, km kweli wee unaona sawia, afu sipendi kuzungumzia hilo suala mahali pasipohusika, tatizo ni hao straight bubu wakiona Id yangu wanahemkwa, sasa wakinichokoza sinaga moyo wa uvimilivu mie, nalianzisha na mie muda huo huo.

Huu uzi sitoki kamweee, na km unategemea nitatoka basi utasubiri sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Km huwa mnanipanikisha ili nitoke thubutuuuh mjipange physiological, maana ndo kwanza mabegi nimeyatua hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu relaaaaaax wee mzeee, unajua unatakiwa usijihusishe na stress na mawazo yasiyo ya lazima. Furahia huo uzee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjukuu kausha basi.. Huku ni furaha tuu.. Tutupie picha zetu za selfika n the like.. Mengine hayo na mengineyo tuyapeleke hukoo na kuleee
 
Na uende mazima usirudi huku tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huwa sipendagi hata kukujibu, afu una force sana nkujibu, vipi hujambo nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Takuchapa sasa..loh.. Hiki kibri kina jini maimuna ndani yake..hebu nenda kule kidogo, huku watu hawataki stress mjukuu wangu mpendwa.. Haya nenda sasa usijibizane na wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…