Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,797
- 51,382
Nitatupia siku ingine leo sina hata kapicha ,
nimefurahi kukuona pia .
Kutakiana heri na kujuliana afya ni jambo la kumpendeza Mungu ubarikiwe sana
Nitatupia siku ingine leo sina hata kapicha ,
nimefurahi kukuona pia .
Amina nawe pia ,Kutakiana heri na kujuliana afya ni jambo la kumpendeza Mungu ubarikiwe sana
Ahsante na kwako piaAmina nawe pia ,
Nakutakia usiku mwema .
Na kwako piaGoodnightView attachment 2035321View attachment 2035322
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Hahaaa kwani yale mafunzo ni kwa ajili ya kupigana na raiaYale mafunzo ya kivita wanayopata kambini halafu tusiwaogope


Hakuna vita unataka wafanyie wapi majaribioHahaaa kwani yale mafunzo ni kwa ajili ya kupigana na raia![]()



Hakuna vita unataka wafanyie wapi majaribioHahaaa kwani yale mafunzo ni kwa ajili ya kupigana na raia![]()



Hakuna vita unataka wafanyie wapi majaribioHahaaa kwani yale mafunzo ni kwa ajili ya kupigana na raia![]()



Hahaa sasa utapiganaje na raia unayetakiwa kumlinda? Hamna lolote mnamuogopa bure tu huyo kinyonga!Hakuna vita unataka wafanyie wapi majaribio![]()
Nipe hizo buti mshikaji wangu na mimi niitwe mjedaHahaa sasa utapiganaje na raia unayetakiwa kumlinda? Hamna lolote mnamuogopa bure tu huyo kinyonga!
neno MteruDoh sijuagi tu kwanini baadhi ya raia huwa mna mteru mwingi mkiona hiko kivazi! Kumbe sister wako naye yuko chomboni?
Nenda kwenye kambi yoyote ya jeshi iliyo karibu nawe ukaombe watakupatiaNipe hizo buti mshikaji wangu na mimi niitwe mjeda




Ngoja ntatafuta kwenye simu yangu ya zamani.Mmh ipi tena hiyo mkuu![]()
Mimi zote za wamama na wasichana wa Selfika nimeziprint na tayari kuziweka kwenye flemu ya mninga ngoshaaaa ihiii.Hii picha hata mimi nimeisevu mkuu. Iko mahali sefu kwenye cloud
🤩Eti kichwa tu haahhaha
Blessed is lioness with the lion.Na bibi yenu apo tukitafakari ya hapa na pale
View attachment 2035347