Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mtu anateseka sana ktk dunia hii juu ya maisha ya mwenazake?
Wee ukinywa pombe, ukivuta sigara ni wee, na wenzio wakikunjwa 7 ni wao, unless nawee unataka ukunjwe 7 au wivu unakusumbua hupati wa kuku kaza?

Anajisifu eti angemfahamu huyo shoga ange mshoot, tobaaaah wee , mbna ameshindwa kuwa shoot James Delicious, Aggrey, Pk kimodo, mtoto wa mama, Rajuu baby, tena hawa ndo wanajishaua wazi wazi tena bila kuficho, yaan hadharan kweupe, na jamii nzima inawaona, wanapishana na watu huko kwenye ma clubs, pubs, bar, na hotels mbna hatuoni waki shootiwa hizo shaba sijui risasi .

Huyo James Delicious alishakutwa na case 2 mfululizo ushahidi ulikuepo tena usio na shaka, alifikishwa mahakamani pale kizimbani juu mbna alitoka nje tena kiulaini km ananawa vile tena mara 2 zote, na kuwaacha hao mnawasifia wa madawa ya kulevya, mfano shamimu na mume wake wako lupango miaka 30 wanatumikia, , afu eti unafananisha ushoga na madawa ya kulevya iv uko timamu wee?

Nakumbusha ktk tukio lingine, kuhusu saka saka ya mashoga wakati wa Paul Makonda, watu walimshangilia sana na kumsifu, je tamko la serikali lilivyotoka? Lilisema nini? Na mambo yalikuaje? nacheka hapa km chizi khaaaah.

Haya mnasema sheria na taratibu za nchi zinapinga na kuona jinai ushoga. James Delicious mbna yuko nje? Nakumbusha tena kupitia video ya ngono ya wale wanafunzi wa IFM, mbna hawajashitakiwa wala chuo husika hakijachukua hatua yeyote ya kinidhamu juu yao, maana mnasema ni ukiukwaji wa maadili, hizi kelele ni za kwenye Keyboard tyuuh au?

Ushoga unapigwa vita kali sana kwa % kubwa na wanaume, haya huu ushoga unafanywa na jinsia gan? Si ni wanaume? Sasa kwa upingaji huo ilitegemewa kuona huo ushoga unapungua km sio kuisha kabisa, badala yake ndo unazidi kukua tena kwa kasi ya ajabu. Ukweli ni upi sasa? Nyie wanaume acheni unafiki khaaah

Yaan mtu anaanza kujifaragua kufananisha jinai ya madawa ya kulevya/bangi, na ushoga, tena anapigia chapuo madawa ya kulevya/bangi na kuunanga ushoga, haya wekeni hapa tafiti au hata mfano m1 wa mtu aliyefungwa kisa jinai ya ushoga kulinganisha na hiyo ya madawa ya kulevya/bangi,

Ifike hatua ukweli uwekwe wazi na ukubalike haijalishi unaumiza kiasi gani, ushoga ni suala mutambuka na pana sana, hakuna anayeweza kukabiliana nalo, tena kwa hii nchi yetu ndo kabisa haina hata ubavu wa kujaribu,

Mnajifaragua sana mitandaoni, tokeni hadharani muonekane tena mkipinga kwa vitendo na, sio maneno mbna hata mie ntakua wa kwanza kuunga mkono hilo .

Hapo nimezungumzia kwenye upande wa maadili, sheria kanuni na taratibu za nchi, kuhusu jinai ya ushoga,
Sijataka kuzungumzia kwenye dini, maana huko kumeshajadiliwa sana na inaeleweka, na ukweli uko wazi kabisaa, ila watu wanajitoa ufahamu tyuuh na kukaza shingo. Hapa nataka kuona hoja za kisayansi nianze kuzichambua,

Nitoe rai kwa watu fulani wanaokerekwa na ushoga, nawaomba wawe buzzy na maisha yao binafsi kwa minajiri ya maendeleo, hata km wanaumia lazima wavumilie tyuuh na wawe wapole maana hakuna namna, huu ushoga haujaanza leo wala jana, na hautaisha kamwee labda ardhi iwe juu, anga chini,

Ukweli mchungu unaoumiza..............
Big loss to your parents mpaka nawaonea huruma ( Mkeka wao umechanika )
 
Bible (new testament) ilishamaliza yote

Mtu ukimuambia hayo mambo ya kupimiana Ukubwa wa dhambi yaliishia agano la kale anashupaza shingo

Kwenye agano jipya baada ya Yesu kufa msalabani alimaliza yote pale na kuanzia pale dhambi zote zikawa sawa

Kwaheri View attachment 2035456
Chukua soda kwa mangi, hakuna aliesalama bora umeliweka sawa hakuna dhambi ndogo hakuna dhambi bora kuliko dhambi ingine
 
Big loss to your parents mpaka nawaonea huruma ( Mkeka wao umechanika )
Wazazi wangu wako poaah sana na wana shine tyuuh, tabu iko kwako wee unaeteseka. Sindano imefika kunako eeeeh? nimepiga penyewe kwenye mshono, nasubiri kuona kelele za walioguswa,
 
Back
Top Bottom