Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,857
Asante sn KakašMwanangu karibu chai aseeView attachment 2033510
Mimi Tyr nimepata
Asante sn KakašMwanangu karibu chai aseeView attachment 2033510
Aminaaaah.Siteketeiiiiiisiangamiiiiiii sibabaishwiiiiiii nipo naweeeeeeeee
#Sundayvibes#
saint anne View attachment 2033370
Amchelewi kushangaa mashuka meusi wakati mimi nimeweka ili nisione yakichafuka nafua mwezi after mwezi![]()



mashuka hayo meupe ndo rangi yangu pendwa, Jamaa mmoja alikuaga akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari castle kili then anatafta meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabid amuulize kwanin anafanya vile kuagiza bia tatu tofauti na kunywa zote? Yule jamaa alimjibu kua waliekeana makubaliano na rafik zake wawili ambao aliishi na kufanya nao kaz kwa pamoja kwamba endapo wangetengana au kuhamishiwa maeneo tofauti bas kila mmoja popote atakapokua akienda bar kunywa bas awanunulie wenzake bia walizokua wanatumia na azinywe ikiwa sehemu yakuwakumbuka nakuenzi undugu au urafik wao kwahiyo hata jamaa nao walikokua walifanya the same.... Siku nyingine tena mambo yalikua tofauti, jamaa aliingia bar nakuagiza bia mbili tu castle na kili, mhudumu alishangaa tena ikabid amuulize kulikoni au kuna mmoja amefariki kati ya wale marafiki zake? Jamaa akamjibu hakuna aliyefariki wote wapo isipokua yeye ndo kaamua kuacha pombe...
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app






Ndio hiyo mkuu, ni msela kabisa.View attachment 2033484View attachment 2033485View attachment 2033489View attachment 2033486View attachment 2033487View attachment 2033488View attachment 2033490
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app




.........Jamaa mmoja alikuaga akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari castle kili then anatafta meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabid amuulize kwanin anafanya vile kuagiza bia tatu tofauti na kunywa zote? Yule jamaa alimjibu kua waliekeana makubaliano na rafik zake wawili ambao aliishi na kufanya nao kaz kwa pamoja kwamba endapo wangetengana au kuhamishiwa maeneo tofauti bas kila mmoja popote atakapokua akienda bar kunywa bas awanunulie wenzake bia walizokua wanatumia na azinywe ikiwa sehemu yakuwakumbuka nakuenzi undugu au urafik wao kwahiyo hata jamaa nao walikokua walifanya the same.... Siku nyingine tena mambo yalikua tofauti, jamaa aliingia bar nakuagiza bia mbili tu castle na kili, mhudumu alishangaa tena ikabid amuulize kulikoni au kuna mmoja amefariki kati ya wale marafiki zake? Jamaa akamjibu hakuna aliyefariki wote wapo isipokua yeye ndo kaamua kuacha pombe...
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app








Muhimu kwa afyaa mzeeAsante sn Kakaš
Mimi Tyr nimepata
Hatari lakini salama