Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,323
Umeandika Maombi ya Akiba nikamkumbuka Rafiki yangu mmoja.. Mungu azidi kumuweka..#PrayerMountain#
#MaombiNiAkiba#
Tusisahau kusali wapendwa, especially wakati ambapo kuna amani na shwari kuu kwenye maisha yetu. Wakati wetu wa tabu na dhiki; hata nguvu za kufungua mdomo na kuomba wengi wetu huwa tunakosa. Akiba yetu ya maombi tuliyojiwekea, inatusaidia tunapokuwa dhaifu na kuishiwa nguvu. Methali 24:10 "Ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache"
WAKE[emoji654]PRAY [emoji654] SLAY.
Saint Anne niendelee na slaying time ama nisiendelee?View attachment 2032935View attachment 2032936View attachment 2032937View attachment 2032938
Sent using Jamii Forums mobile app