Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,861
Hilo jimbo liko wazi wewe zama pmWe acha tu yaani...
Kati ya watu wanaokula raha hapa duniani lazima na hubby wako awemo! Si kwa huo mzigo wallahi
Hata alieanzisha huu uzi hawezi kujiskia vizuri, alianzisha kwa lengo zuri tu lakini sijui inakuaje yanaibuka mambo tofauti na hii ni mara ya pili haya mambo yanachafua hali ya hewa humu.Hey ladies, mkuwe basi jamani. Yaani uzi mzima mmeuharibu kwa kuleta mada zenu za ushoga embu hayo mambo yenu mkayazungumzie huko PM.
Huu uzi ulikuwa mzuri mmeanza kuuharibu kwa kuingiza mada zenu za ajabuajabu, muwe na aibu basi.
Umejuaje?
Tushaanza miezi miwili ya mateso ya nafsi, unadhani kuna blessings tenaEnwei
Have a blessed weekend.
Mungu ni mwema wakati wote ,hawezi ruhusu hilo.Uzae shonga alafu Mungu awe mwema... huyo Mungu wa wapi asee.. Mnakaa mnaona ushoga kama jambo dogo aseee
Uzi umepoteza mantiki.Hata alieanzisha huu uzi hawezi kujiskia vizuri, alianzisha kwa lengo zuri tu lakini sijui inakuaje yanaibuka mambo tofauti na hii ni mara ya pili haya mambo yanachafua hali ya hewa humu.
Naona upo jiji letu pendwa
Stress ni mbaya sanahakika.
Ee tilisha mtori bablai nyama zipo dantaHuu n mtori, nyama ziko chini.
DJ waleteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh,
Uko sahihi....uzi unapoteza maana kisa mabishano yasiyo na ulazima wowote.Nadhani Kila mtu abaki na anachoamini hii ya kuanza kulazimishana kuamini mawazo ya mtu mwingine ndio kunatufikisha hapa.Uzi umepoteza mantiki.
Kutofautiana ki-mantiki ni jambo la kawaida na linakubalika,shida kwenye kujenga hoja kila mtu anataka kuonekana mshindi, na ushindi wenyewe hauna tuzo.
Wakati mwingine kukaa kimya pia ni Hekma.
Endeleeni na mambo mengine sasa. Hili limeshapita jamani!
Ni kweli mkuu, tuache kuhukumu wengine ilihali hakuna hata mmoja wetu anayeweza kukusimama mbele za Mungu na kusema yeye hana dhambi! Hata Yesu alisema "yeyote ambaye anajiona hana dhambi basi na awe wa kwanza kurusha jiwe kwa huyu mtu", cha ajabu wote wakatulia!Hifadhi nguvu na amani yako kwa matumizi.mengine ya msingi.
Kwanza huu ni uzi wa mapichapicha...wanaotaka kutujazia magazeti ni kupita kama hauoni mtu.
Nani hapa hana dhambi au madhaifu yoyote hadi aanze kuhukumu wengine?
Cha ajabu watu wanataka kushamvuluana jukwaani tena mtandaoni ambapo hata hamfahamiani?
Sehemu ambayo mtu anaamua awe kitu chochote anachotaka yeye.
Hata uraiani mtu hauwezi kuhusika na maisha ya kila mtu...kuna wavuta bangi, walevi, wezi, waongo, wazinzi, wadangaji...orodha ni ndefu. Sasa ukuanza kuhangaika na hao watu si utazeeka kabla ya muda?
Hao wasioelewa achana nao, tupia picha kwanza
View attachment 2031996
Lishaleft baada ya kubwabwaja sana .Endeleeni na mambo mengine sasa. Hili limeshapita jamani!
Ever mwaga picha,ya pwagu tumwachie pwaguziUko sahihi....uzi unapoteza maana kisa mabishano yasiyo na ulazima wowote.Nadhani Kila mtu abaki na anachoamini hii ya kuanza kulazimishana kuamini mawazo ya mtu mwingine ndio kunatufikisha hapa.
Msukuma naomba leo uselfike nikuone rafiki!!Endeleeni na mambo mengine sasa. Hili limeshapita jamani!