Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tehteh.. unauchukulia tofauti kivipi sasa!!???
Nauchukulia tofauti kama vile mwanamke ukimwandaa kwa kumshika sehemu zake legevu na za kimkakati kule chini huwa wanalowana na kutokwa na utelezi fulani hivi kama wa bamia
 
Sasa kidini utofauti wa hizo dhambi unakuwa wapi ikiwa mwizi na shoga wasipotubu wote wanaenda motoni na wakitubu wote wanaenda mbinguni? Na wakati dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu tunaambiwa adhabu yake ni mauti moja kwa moja hutapata nafasi ya kutubu sasa je mashoga nao huwa wanakufa mara tu baada ya kuanza ushoga?

Halafu unapojenga hoja jitahidi kuepuka maneno yaliyojaa assumptions kama "vipi kama dunia nzima ikifanya hivi" au "itakuwaje kama yule naye akifanya hivyo"? Wote tunajua kabisa kwamba practically haiwezekani dunia nzima watu wakawa mashoga na wasagaji eti kisa hawakemewi yaani hata dunia ibadili mzunguko hiko kitu hakiwezekani katu abadani!

Kwanini nasema hivyo kwa sababu ni dhambi ngapi hazishikiwi mabango lakini bado dunia nzima haijaathiriwa na hizo dhambi kwanini hamshikii mabango dhambi kama uzinzi mbona hamsemi "vipi dunia nzima wote tukawa wazinzi"? Mnadhani kutokuzaliana ndiyo madhara makubwa sana kuliko madhara yanayoweza sababishwa na dhambi nyingine?

Kwanini mtake sheria ziingilie kati jambo ambalo wameamua kulifanya watu wazima wawili kwa kutumia viungo vyao wenyewe tena wakiwa faragha bila kuwabugudhi watu wengine kwa madhara ya kufikirika eti "tutaacha kuzaliana"? Mbona hamtaki sheria ziingilie kati dhambi nyingine ambazo madhara yake yanaonekana sasa kwa kisingizio eti nature?

Haya vipi na mimi nikaamua kukuambia kuwa hata dunia nzima tukiwa mashoga na wasagaji bado haitazuia kuzaliana sababu kuna njia nyingine za mwanamke kubebeshwa mimba bila kukutana na mwanaume kama lengo ni kuzaa tu? Au umedanganywa kuwa shoga hana uwezo wa kuproduce sperms na kwamba msagaji hawezi kubeba mimba siyo?
diiih...
 
Yaan nasoma huku nashushia pumzi, hakika ubongo wako una madini sana.
 
Chizi
FB_IMG_16385321056754548.jpg
 
Back
Top Bottom