Kwa hiyo tukubaliane kwamba dota ni ana muonekano wa kiume(tomboy) lakini mgegedo ni kama kawaida.[emoji123][emoji123][emoji123], afadhali [emoji23][emoji23]Ni kweli matom boy hawako kwenye hiyo society, japo kuna watu wanaamini kuwa mtu ukiwa tu tom boy basi wewe ni lesbian kitu ambacho si kweli. Kuwa tom boy haihusiani na sexual orientation ya mtu, hiyo it's all about mwanamke kuwa na muonekano wa kiume na baadhi ya tabia za kiume lakini wapo matom boy ambao wanagegedwa kama kawaida tu.
Yeah haya mambo yameshatolewa elimu sana lakini kwa jamii yetu hii itakuwa ngumu kueleweka. Kuna muda ukitafakari kwa kina inabidi mtu ukubali tu maana hatuwezi lazimisha kwamba fulani ni mwanaume rijali halafu akaingia kwenye ndoa akashindwa kufanya yale yanayotakikana ikawa taabu.Waambie hao na wanadhan kila Tom girl n gay, kumbe n hormonal imbalance. Ukute hata u gay wenyewe haujui [emoji23][emoji23][emoji23].
Huwa nataman sana nianzishe mada niwape watu Elimu, tatzo modes watafuta uzi wangu au kunipa Ban, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah mnasemaga hivyo hivyo. Sisi kwenye masuala ya mgegedo hatuwakatalii ninyi danganyaneni muwezavyo ila kwenye masuala ya uzazi please give us a break. [emoji1787][emoji1787]Sisi tuna practicals za kutosha kutufanya researchers [emoji23][emoji23][emoji23] kama mtu kajaza yutong za kutosha si tayari inamfanya kuwa researcher, hasa kama kila adventure aliyofanya alikuwa kwenye utafiti. Pa kukojolea na pa utam...[emoji23][emoji23]dota bwana!
Hata kidevu kina nywele nyingi km alshabab[emoji28]Ndugu yangu Satoh Hirosh Harakati za Kijana wa hovyo hovyo zinaendelea kama kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata nguo huwa hapigi pasi View attachment 2030734
Matajiri bn[emoji16]..Hampendi sifa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na hii ni 13 sijui 14 itakuwaje... mie fogo wapi mkuu wangu.. mie Kijana wa hovyo hovyo .. ushawai kuona fogo anashinda JF nipo hapo chuo cha ustawi wa jamii nakul shule
eeh! mtu mwenye kazi zake, utakuta anaamkia hapa jf mkuu wangu πππ
ChafyaaaaaNdugu yangu Satoh Hirosh Harakati za Kijana wa hovyo hovyo zinaendelea kama kawaida πππππ hata nguo huwa hapigi pasi View attachment 2030734
miamala haisomi mzee baba. lazima tuchafuke tu .. hapa narudi zangu kuuchapa sasa usingizi ramani hazisomeki kabisaa dah!Hata kidevu kina nywele nyingi km alshabab[emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
vidole vinasema mengi.. acha tu nilale life hili nugu yangu Satoh Hirosh halina usawa kabisa
Hahaa yeah mimi ni kinda tom boy pops. Ila kwenye mapenzi nishafeli ndiyo tatizo.Kwa hiyo tukubaliane kwamba dota ni ana muonekano wa kiume(tomboy) lakini mgegedo ni kama kawaida.[emoji123][emoji123][emoji123], afadhali [emoji23][emoji23]
Baada ya kusema hayo sasa huyo dogo sipendi kusoma comments zake. Kila nikimsoma then nikimcheki dogo wangu najisikia vibaya sana. The best thing ni kubofya ignore ili nisiendelee kuikwaza nafsi yangu, first time na-ignore mtu.
Mwee tangu umeipata hiyo meme hatupumui mkuu ni mwendo wa kuedit captions tu [emoji23][emoji23]
Sina kazi mkuu ππππ nacheza cheza tu memee.. nikipata mchongo tu napotea JFMwee tangu umeipata hiyo meme hatupumui mkuu ni mwendo wa kuedit captions tu [emoji23][emoji23]
Sina ninayemfaham kwetu ni gay asee.Hahaa yeah mimi ni kinda tom boy pops. Ila kwenye mapenzi nishafeli ndiyo tatizo.
Una mdogo wako tom boy ama gay [emoji848][emoji848]
Tuvumiliane.cc kuna watu wakiona ID yangu wanaweweseka sana, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kila nacho comment hata hakihusiki na hilo, utaona mtu ananivaa juu juu kwa suala hilo, had huwa nashangaa San inakuaje.
Kna member humu yupo m1, anapenda San kunichokoza tena ktk nyuzi zingne, yaan kila nacho comment ananijia na matus, kejeri, yaan hata nkitoa hoja ya maan, ye lazima anitus tena kwa personal attacks,
Nliamuamu kumpotezea tyuuh, tena saiv ndo kabisa, jua kali, mgao wa umeme na maji, mbna kinaumana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuvumiliane tyuuh hakna namna.