Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Mkuu umekosa zawaidi ya usiku hivi hivi.. 😀😀😀😀Hapa nadhani utakuwa unacheza tumeuona mkono wa BWANA😁
Mtoto Una upaja Kama kuku aliyempost Mshana Jr asubuhi 😅
Mkuu umekosa zawaidi ya usiku hivi hivi.. 😀😀😀😀Hapa nadhani utakuwa unacheza tumeuona mkono wa BWANA😁
Mtoto Una upaja Kama kuku aliyempost Mshana Jr asubuhi 😅
Mtoto mzuri kama wewe ni wa kuhongwa crown au dualis na nyumba pale palm village floor ya juu kabisa.
mateso yenyewe yakizidi sana si ndio inakuwa kifo sasa 😀😀😀.. tupeni ka upendeleo basi mimi na Satoh HiroshWanaume matesooo!🤣
We siyo mwenzangu bana😅Satoh Hirosh ndugu yangu tunaishije asee
Usinitenge dugu yangu tupo pamoja kabisaaa😀😀😀 , tusubiri huruma zao tuWe siyo mwenzangu bana😅
Mmwagie minoti Tu Hadi aitike bee kisha akuje..Ila mahondaw mrembo bana si mchezo
Hapo kwenye zawadi ya usiku ndy tunavurugana akili sasa😋Otea wimbo ataepatia nna zawadi yake usiku!
Palm village parefu...Mtoto mzuri kama wewe ni wa kuhongwa crown au dualis na nyumba pale palm village floor ya juu kabisa.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
We mtoto ni mzuri.
Geuka mtoto mzuri tupate nguvu ya kukufuata inbox.Dakika sifuri nageukaaaa🤣🤣🤣
😬😬😬 katuvuruga kabisaaa akili, yaani tunaishi ku imagine tu tuuu mchaka mchaka wakeHapo kwenye zawadi ya usiku ndy tunavurugana akili sasa😋
unacheza mkono wa BWANA ya zabron singers
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tatizo lako na wewe unataka wengi 😂mateso yenyewe yakizidi sana si ndio inakuwa kifo sasa 😀😀😀.. tupeni ka upendeleo basi mimi na Satoh Hirosh
Nimecheka sn🤣..unaiomba picha mkuu? AhahahNami naiomba mkuu...
Nahesabu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ulivyo sharp wewe mtoto..
Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳😳 Ukichagua ndio unapata kwani , unachagua na bado unakuta hujakizi vigezo... labda mwenzangu umepata pa kujifichaTatizo lako na wewe unataka wengi 😂
Chagua mmoja basi ili ajijue kwamba anapendwa yeye tu..wanawake Wana huruma sn akijua dunia nzima unampenda pekeyake
Geuka mtoto mzuri tupate nguvu ya kukufuata inbox.
😋😋😋
Kama hivo nimeahirisha sigeuki!😌Geuka mtoto mzuri tupate nguvu ya kukufuata inbox.
😋😋😋
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahesabu.
Hii ni picha yako ya nne kuweka selfika.
Mil. 15
Dada [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]