cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,974
[emoji23][emoji23][emoji23] we kweli ivThubutuuuu!
[emoji23][emoji23][emoji23] we kweli ivThubutuuuu!
Satoh Hirosh ndugu yangu tunaishije aseeOteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988
Umekosaaaaaa!!!😁😁Ticha
Otea wimbo ataepatia nna zawadi yake usiku!Satoh Hirosh ndugu yangu tunaishije asee
Acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mtindo ndo walimu wengi wa hisabati wanao, af level zote, yaan anaanza kupokea wa mwisho, mwsho anapokea wa kwanza, ila vile uuaji aseeh.
😭😭😭😭😭😭😭😭 yaaani dah! Jason Derulo - Love not war.Otea wimbo ataepatia nna zawadi yake usiku!
Naona ukungu umetoka kwenye cameraOteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988
Upo boss lakini kwa Sasa hauna viwango Kama awaliMjini hapa
Hivi ule mgahawa wa Babanusa bado upo hapo town?
Dah enzi hizo nimekula sana hapo.Upo boss lakini kwa Sasa hauna viwango Kama awali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃😜Naona ukungu umetoka kwenye camera
Sasa picha zimekuwa klia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pretty Girl - AkikibaOteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988
Mekoseaaa..🤣😭😭😭😭😭😭😭😭 yaaani dah! Jason Derulo - Love not war.
Najua nimepatia wimbo, ila sema niko ushirombo naipataje hiyo zawadi
Satoh Hirosh
😜😜😜😜😜😜!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pretty Girl - Akikiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachizika kabisa yaan.Acha tu
Usiombe karatasi yako iitwe mwanzo mwanzo[emoji1787]
Unaweza kuzimia.
Nimepatia? Usnambie kweli wee[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]!!
Andy Bumuntu - ON FIRE 😊😊Mekoseaaa..🤣
Ukigeuka tu nitajua nyimbo unayocheza, kwa mbele hatuwezi jua.Oteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988
Hahaha....We jamaa bhanaHabari za asubuhi kwangu ni kwema kbs mkuu
Leo tumeamka na baraka ya mvua
Kuhusu huyo mtoto Depal mtunze sn maana kuna wahuni tunammezea mate mithili ya fisi anavyotoka udenda Kwa kusubiri mkono wa binadamu uanguke pale anapoirusha rusha wakati anatembea[emoji16]
Miss curvy...Oteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988