Kwanini mkuu?
Unadhani huwa nacheka cheka shule?
Tena mimi wananiita madame mnoko
. Na viboko vyangu vinauma hatari.
Na nikiamua kula sahani moja ni mwanafunzi atakiona cha moto.
Na nguo ni nguo za vitenge na zinazopwaya, ukiniona haudhani ni mimi..