Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG20211130173213.jpg

Diet 🥂
 
Nehii nehiii!!! Mi wajeiefu tulishashindwanaga longiii🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!🙃
Tangu muachane na Yule jamaa amekuwa mzito sn wa kutype,mwandiko hautoki kbs wakati zamani alikuwa anaandika sn Tu..sijui ilinifanya nn
Siku hivi sasa:
Ngoja waje wakupe mwongozo

Binadamu wa siku hizi wanaishi sn

Mambo Yao waachie wenyewe

😂😂😂
 
Nehii nehiii!!! Mi wajeiefu tulishashindwanaga longiii🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!🙃
wazinguaji wengi.
Mahusiano ya kimtandao wengi wanachukia kwa sababu ni rahisi zaidi mtu kujenga character flani ambayo si yake. Siku unajua uhalisia its too late.

hata wanawake sijui zile picha wanapigia angle gani , unaona ana umbo zuriii, ukimuona sasa live utakimbia🤣🤣🤣.

Wengi wanakua dis appointed.
 
😬😬 Satoh Hirosh umeona maneno hayaaa... aaah! mie simo huko ... najua hakuna mwanamke ananitaka na mie siwataki pia 😀😀
Tatzo lako huwajui wanawake mkuu

mwanamke hapendi mwanaume anayelialia na kulalamika,Kwa hiyo kaza Bob ✊..eeh tukaze mkuu😅

Me mfukoni apecha alolo lkn siendi nao kinyonge,nakomaa nao Tu kibabe😂
 
Tangu muachane na Yule jamaa amekuwa mzito sn wa kutype,mwandiko hautoki kbs wakati zamani alikuwa anaandika sn Tu..sijui ilinifanya nn
Siku hivi sasa:
Ngoja waje wakupe mwongozo

Binadamu wa siku hizi wanaishi sn

Mambo Yao waachie wenyewe

😂😂😂
Kwani jamaa ake alikuwa nani hata sifahamu mkuu.

Ndio bi mdada anasema wameshindanwa na watu wa jf.
 
Tangu muachane na Yule jamaa amekuwa mzito sn wa kutype,mwandiko hautoki kbs wakati zamani alikuwa anaandika sn Tu..sijui ilinifanya nn
Siku hivi sasa:
Ngoja waje wakupe mwongozo

Binadamu wa siku hizi wanaishi sn

Mambo Yao waachie wenyewe

😂😂😂
Sijui nicheke sijui nilie sijui hata nifanyeje yani sijuiiiii!!!? Khakhaa unamsaidiaje sasa!!!? Fanya kumsaidia mwanaume mwenzio basiii🙃🙃🙃🙃🙃
 
Back
Top Bottom