Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maonyesho si mazuri kabisa.

Kongole kwa huyo dada maana kanishinda kwa tabia😁😁😁lakini alikuwa sahihi kabisa maana ni boifrend huna uhakika kama. Atakuoa ama la na pengine hata mpango huo hana 🙆‍♀️🙆‍♀️ Hata mimi ningesema sina waaaaaahhiii..mtu unajikuta uko kwenye mahusiano lakin hujui yanahusiana na nini kha.

Ila Lizzy tuache masihara kuna wakaka wako vizuri nyie unaweza kumla bila mboga😉kho kho kho kikohozi kimenibana sana😁
Kuna wadada Mungu nampongeza kuwapa Jinsia waliyonayo.

Maana mngekua wakaka nyie, mambo yangekua magumu sana.
 
Jua kali..
IMG_20211130_113021_759.jpg
 
Hata mimi kuna wakati nakuwa singali kuna wakati nakuwa dabo mule mule inategemea niko mazingira gani tunaishi nao.kiukweli niko singo jaman 🤣🤣🤣
Kupata mpenzi atakae weza kusema "am taken" angali yupo mbali na mpenzi wake, ni kibarua haswaa..

Japo zipo ladies ni hatari na nusu, anakukazia macho with soft language "am taken controla i cant hurt him" yani hataki kukupoteza "as a friend" na hataki msaliti Mpenzi wake, Damn....

unajisemea kimoyo moyo Pamoja na kanichomolea i have to give her a present bila kumpa maelezo kwann nimempa hiyo zawadi.

sure this kind of ladies,nawatunukugu zawadi Ambazo hudhani ni kwasababu nmempenda ila kumbe nmempa kwasababu ya Misimamo yake mitamu tamu.. isiyo na ukakasi.

anakuchoma sindano huku anakupa polee nyingiiiii wakati inauma....
 
Back
Top Bottom