Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaaa huyo msimchukulie poa aisee. Hapa kanajifanya kamtu ka kawaida tu ila yeye mwenyewe pamoja na watu anao hang out nao siyo level zetu.

Sema namuelewa huwa hapendi show off. Ila ukimkuta kwenye anga zake kuna mada akichangia unaona kabisa huyu yuko vizuri sema anawazuga tu humu.
Najua mwamba ni fogo...tena mnene hasa
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Nilipitwa na hii 😂😂😂🙈🙈

Chakorii umenikumbusha this girl tulifanyaga kazi flani hivi pamoja. Sasa boss wetu alikuwa boss kweli (awfully good looking, very well established, fashionable kinoma) ila mshkaji sana. Yani hana mbwembwe kabisa....sasa sijui this girl sijui alikuwa amezingua nini so boss akamuuliza au umemmiss sana babe wako mpaka kazi inakataa?? And she outright said "MI SINA BOYFRIEND!!!"

Baadae tukamuuliza duuude...mbona unasema uko single and you are not. Akatuchana eti kuna watu hata kama iweje hutakiwi kujidai eti ushachukuliwa. Akajazia we ukikutana na Diamond saa hizi unamuambia una mtu???

I was just like 🙄🙄🙄🙄
mimi ningeacha na ulimi unabembea kabisa, Huyo mdada walahi Hafai kwa matumizi ya "mke" ...
 
Matunda kidogo
IMG-20211130-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom