Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Atakupa miongozo.
Ngoja nikamuulize kitu.
Atakupa miongozo.
Ngoja nikamuulize kitu.
Vizuri sana kama ni salama kabisaJamani jamani mnanikumbusha ntalia mimii
Salama kabisa !
Ukamuulize nini mkuu acha ukorofi basiii! Afu msimsumbue pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!! Hanaga tabu na mtu yule😳😳😳😳😳😳😁😁😁😁
Ngoja nikamuulize kitu.
Wamuache aisee!! Miongozo anatoa kwa bebi wake tu! Labda Na mashetani yakwao yakiamka ndo anachatchat otherwise hanaga mambo mengi ni komenti fupifupi kamaliza!Atakupa miongozo.
Bado unamuelewa Le Big Boss au sio.Ukamuulize nini mkuu acha ukorofi basiii! Afu msimsumbue pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!! Hanaga tabu na mtu yule😳😳😳😳😳😳
Miongozo ndio nini.Atakupa miongozo.
Mkuu acha ukorofi!!! 👈👈 Aisee unataka kuniharibia siku nisiselfike mimii! 😠😟😟
Nina presha mkuu mtaniuwaa nilikua nishasahau mjue🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃Bado unamuelewa Le Big Boss au sio.
Wee utawaweza hawa mambo yao waachie wenyewe!!Miongozo ndio nini.
AsanteVizuri sana kama ni salama kabisa
KARIBU
Nilikuwa kwenye IST ya uber' na nilipiga kutokea ndani si unajua uber haznaga tinted
Yaishe basi, mi sijui kinachoendelea.Mkuu acha ukorofi!!! 👈👈 Aisee unataka kuniharibia siku nisiselfike mimii! 😠😟😟
Inasikitisha sana.. in smarts voice khakhaa!!!wazinguaji wengi.
Mahusiano ya kimtandao wengi wanachukia kwa sababu ni rahisi zaidi mtu kujenga character flani ambayo si yake. Siku unajua uhalisia its too late.
hata wanawake sijui zile picha wanapigia angle gani , unaona ana umbo zuriii, ukimuona sasa live utakimbia🤣🤣🤣.
Wengi wanakua dis appointed.
Kwani jamaa ake alikuwa nani hata sifahamu mkuu.
Ndio bi mdada anasema wameshindanwa na watu wa jf.
Hanaga tabu na mtu kweli..umemfanya Kama mpooza Yani😅Ukamuulize nini mkuu acha ukorofi basiii! Afu msimsumbue pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!! Hanaga tabu na mtu yule😳😳😳😳😳😳
Weee tusolve nanani!!??😳😳 It's over between us!!!! Overrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!🙃🙃🙃🙃🙃Yaishe basi, mi sijui kinachoendelea.
Anyway hope mtasolve mambo yenu.
Haha gusia na swala la kufungua piemu
Ndy Kwanza nasikia kwako Uber haina tinted .niyajulie wapi Mimi hayo mamboNilikuwa kwenye IST ya uber' na nilipiga kutokea ndani si unajua uber haznaga tinted