Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Nipo hapa standby 🙇
Nipo hapa standby 🙇
Jamani jamani!!!Umekosa vibaya sanaaaaa 😀😀😀😀😀
😘😘😘😘🤩🤩Nimepatia? Usnambie kweli wee
Changamka mkuu.Eti Eeeh!!
Kwema lakini mkuu
🤣🤣🤣
Dakika sifuri nageukaaaa🤣🤣🤣
Kumbe mwanangu unanichora Tu,unajifanya upo na Mimi kundi la walala Hoi kumbe mzigo unao!!
😋😋😋 dah!Mimi hapa mkuu wangu Post M-alone
Mwanangu nimetumwa na mdosi, naoshea sura tu 😀😀😀Kumbe mwanangu unanichora Tu,unanifanyia upo na Mimi kundi la walala Hoi kumbe mzigo unao!!
Fanya basi hata teni niishi mwanangu.Ukichomoa Kumi kwenye hivyo vibunda ni negligible kabisa..Kama tone la maji kwenye bahari
So beautiful!!😋😋😋😋!! Mungu kaumbaaa aseeh
Hafi mutuuui!!🤣Humu mtatuua nyie watu 🙂🙂🙂
Satoh Hirosh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe mwanangu unanichora Tu,unajifanya upo na Mimi kundi la walala Hoi kumbe mzigo unao!!
Fanya basi hata teni niishi mwanangu.Ukichomoa Kumi kwenye hivyo vibunda ni negligible kabisa..Kama tone la maji kwenye bahari
Hamjui mateso tunayopitia na ndugu yangu Satoh HiroshHafi mutuuui!!🤣
Umeonaa eeeehhh!!🤣🤣🤣
Ah, yupo.
Hebu nikuone, pisi kali utazijua tu hata zinavyo type, hebu weka vitu mtoto mzuri.
Wanaume matesooo!🤣Hamjui mateso tunayopitia na ndugu yangu Satoh Hirosh
Hapa nadhani utakuwa unacheza tumeuona mkono wa BWANA😁Oteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988