Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
hapa ni njema kabisa mkuu wanguSalama kabisa mkuu Holy Man vipi kwema pande hizo
hapa ni njema kabisa mkuu wanguSalama kabisa mkuu Holy Man vipi kwema pande hizo
Weuweeee😍
Satoh Hirosh mnyonge mwenzangu tunaishije asee😿😿😿
😁😄Satoh Hirosh mnyonge mwenzangu tunaishije asee😿😿😿
🤣🤣🤣🤣🤣Sema jingineWeuweeee😍
Tukiisha kufa mnapata faida gani ?Weuweeee😍
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mnaniua mbavuuuuuu!🤣🤣🤣🤣Tukiisha kufa mnapata faida gani ?
Tunanenepa vyura.Tukiisha kufa mnapata faida gani ?
Nyingine ambayo hujacrop🤣🤣🤣🤣🤣Sema jingine
Hatari na nusuHahaha noma
Dah! acha tutafute hela na magari na magheto mazuri labda tutabahatisha na mwenzangu Satoh HiroshTunanenepa vyura.
Vizuri sana kama hapo ni njema kabisahapa ni njema kabisa mkuu wangu
Nakutafuta wewe mwanamkeWeuweeee![]()
Kwa mbaaaaaali naona ugonjwa wangu
Sie vijana tulio single zinatupa sana taabu, acha nikanywe tangawizi kijiweni pale ndio life letu
Nipo hapa, niambie?Nakutafuta wewe mwanamke
Duh!!!Inamaana wewe hauoni hii hali ya hewa leo? Hapakosi chai ya asubuhi, alasiri, jioni na usiku tena makorokoro mengine
Naskia pilau sio zuri kuliwa usikuUtanifanya nipike pilau for dinner![]()