Selfika na JF: Snap it. Show it

walio single, walio nuniana, wenye mahusiano yanayo pumulia oxygen... hawaishi kuchart hapa hata saa tisa za usiku [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu wengine hatuna shida za mahusiano,Ila tuko night shift tunatekeleza Sera ya hapa kazi Tu

Tunatumikia taifa

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
walio single, walio nuniana, wenye mahusiano yanayo pumulia oxygen... hawaishi kuchart hapa hata saa tisa za usiku [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtoto Depal sasa hivi yupo fofofo,midenda inamtoka shavuni inachafua shuka...Kwa kuawahi kuamka sasa,Kama jogoo[emoji28].Akiamka me ndy najiandaa kwenda kulala

Ila tunaofanya kazi za kukesha tuna maisha magumu sn.Yani mida huu mtu upo macho unaweza kujikuta unazibuliwa vibao vya uso na majini [emoji1787]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi niliona kule kwenye uzi fulani hivi.


Ila mtu kubadilika ni ngumu aisee,,
Tone ya uandishi huwa inakuwa ileile.


Halafu hadi leo nasubiri ile picha nzuri ya sketi ya marinda[emoji3059]
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]ngoja nkuletee nyingine sasa!![emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…