Nikikumbuka Olevel zile fimbo za mwalimu kwenye kuchambua sentensi sijui matawi,,dah mara unaandika kivumishi kumbe ni kitenzi kishirikishi sijui
Mara shina,unanyumbua sentensi nazo zinakunyumbua,inakuwa mnyumbuliko.
Niliachana kabisa na habari za kiswahili.