Selfika na JF: Snap it. Show it

Waache watoto wakufate...

Arts nayo ipo ipo tu Kama uji wa mtoto 'no sukari no chumvi.

Me science O- level niliingia siku moja siku hiyo hiyo nikatoka 🤣🤣
Nilikuwa muongeaji somehow sasa nimefika hapo science naona raia hata 20 hawafiki nikaona na haya makelele yangu sitoweza.
 
First born anajua kingereza ,second born hesabu yaani nshajua kila mmoja anachokihitaji!!
Kunifata hapana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kupoteza muda shuleni kuvuruga kichwa changu shule nimeamua sasahivi nibaki na za kujumlisha tu hela.
 
Nikikumbuka Olevel zile fimbo za mwalimu kwenye kuchambua sentensi sijui matawi,,dah mara unaandika kivumishi kumbe ni kitenzi kishirikishi sijui
Mara shina,unanyumbua sentensi nazo zinakunyumbua,inakuwa mnyumbuliko.
Niliachana kabisa na habari za kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…