Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Ukute mdogo wake mwingine sasahivi ni Adonai na angekuwa na kaka yake si ajabu angeitwa Shama.Yeah kwao wote wana majina mazuri aliniambia ana mdogo wake wa kiume anaitwa Elohim. Kwao wako wawili tu.
Hakuwa na mbwembwe za kutaka tujue baba yake ni nani sema lifestyle yake alikuwa anaonesha tu kuwa huyu ni wa kishua. Sema ndiyo hatukujua kuwa baba yake ni mmoja wa wanaopigiwa salute tulijua atakuwa tajiri mmoja tu asiyejulikana.
,wangetamba shule nzima.Haha umenikumbusha pia kuna familia naifahamu tulikuwa tunasali nao kwao wako wawili tu Shama na Jesha. Huyo Shama ni wa kike na Jesha ni wa kiume huyo Jesha yeye kwa sasa anasoma chuo Marekani.Ukute mdogo wake mwingine sasahivi ni Adonai na angekuwa na kaka yake si ajabu angeitwa Shama.
Safi sana.
Hapo wangekuwa wengine sasa,wangetamba shule nzima.
Nadhani hata shule mliyosoma inachangia kutokujimwambafai maana ni shule za watoto wa vigogo tu.
Unakuta pocket money yake ya wiki ndio mshahara wangu wa mwaka mzimaHaha umenikumbusha pia kuna familia naifahamu tulikuwa tunasali nao kwao wako wawili tu Shama na Jesha. Huyo Shama ni wa kike na Jesha ni wa kiume huyo Jesha yeye kwa sasa anasoma chuo Marekani.
Ilikuwa shule ya kawaida tu sema tulichanganyika watoto wa vigogo na watoto wa wakulima. Watoto wa vigogo pocket money walizokuwa wanaachiwa daah watoto wa wakulima tulikuwa tunabaki midomo wazi tu.
Mtoto anaachiwa pocket money ya wiki sawa na mshahara wa mtu wa mwezi mzima. Visiting day sasa wazazi wengine wanakuja wanapaki ma V8 na ma RR wengine wazazi wetu wanakuja na noah au madaladala yote maisha tu.







Unakuta pocket money yake ya wiki ndio mshahara wangu wa mwaka mzima
Maisha haya![]()





Karma, mbona hata Kikwete ni mkulima🤣Haha umenikumbusha pia kuna familia naifahamu tulikuwa tunasali nao kwao wako wawili tu Shama na Jesha. Huyo Shama ni wa kike na Jesha ni wa kiume huyo Jesha yeye kwa sasa anasoma chuo Marekani.
Ilikuwa shule ya kawaida tu sema tulichanganyika watoto wa vigogo na watoto wa wakulima. Watoto wa vigogo pocket money walizokuwa wanaachiwa daah watoto wa wakulima tulikuwa tunabaki midomo wazi tu.
Mtoto anaachiwa pocket money ya wiki sawa na mshahara wa mtu wa mwezi mzima. Visiting day sasa wazazi wengine wanakuja wanapaki ma V8 na ma RR wengine wazazi wetu wanakuja na noah au madaladala yote maisha tu.
Tatizo wakishaoña mafanikio wanalazimisha sequels hata kama hawajajipanga vizuri upande wa story 😬😬Haha sema muendelezo wake hata haueleweki hasa hiyo ya tatu ambayo Karate Kid ni mwingine kabisa tena mdada. Mie niliipenda ile ya kwanza tu na ile remake ya Jaden Smith basi.
Nywele tunazitoa wapi sasa? 😂 au tukaibe kwa yule fudenge ??
To be honest that shit is overrated 😂Nilikuwa nakuwa mpole sana hadi kesho nakuwaga ivyo
Team short hair 😃😃Nywele tunazitoa wapi sasa? 😂 au tukaibe kwa yule fudenge ??
Kwanza niulize mnawezaje kukumbuka kuvua hereni usiku? Haka ka kipengele me kalinishinda sijui kwa kuwa navaaga tudogo tudogo tu.
Fude fudeee nani mwingine Kama sio fudenge? Kitu kizito 🤣🤣Team short hair 😃😃
🤣 fudenge yupi em nikumbushe
Yaani bado ni kipengele kwakweli ila napambana hivyo hivyo, sa zingine uko bafuni unapaka zako sabuni ndio unashtuka hereni bado zipo😂😂
Ila napenda sana hereni, we huvai?
Dogo my second wa late 1980's daahh!A wapi!
84 nakataa.
Labda uniambie 90,,napo nitakufikiria![]()



unanizulumisha hivi hivi!!!Mhuuuu 🙂Wababe wa telegram...
Kitu kizito bado nakifeel walahi😂😂😂Fude fudeee nani mwingine Kama sio fudenge? Kitu kizito 🤣🤣
Me naoga nazo nitabadili siku najisikia kubadili au nimezichoka natoa kuzitupa... Navaa ila changamoto kukumbuka kuzivua.
Hahaaa huyo ni 'mkulima' jina tu mkuu. Kibongobongo ukisema mtoto wa mkulima sote tunajua unamaanisha nini.Karma, mbona hata Kikwete ni mkulima![]()