Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1637254766027.jpg
 
Ikiwezekana kapigeni tu vyombo kwanza mkuu.
Kuna gari imeziba njia hapa darajani katikati ya Iyunga na njiapanda ya Itende.
Na pale hata kupita pembeni haiwezekani maana kulia na kushoto ni korongo lisilo hata na uzio.

Shalom greencity
Shalom Mbeya
Jiji kubwa ila ina Barabara moja tu,tena iliyo finyu mno.

NB
Hivi si ni wewe ulisema utanipa lift?
Mbona unapita kimya mkuu??

Nipakilie basi japo maparachichi yangu,ntayakutaga mbezi.
Kwa kweli imeniharibia ratiba, sikuwa na ratiba ya kulala Mbeya ila sina budi kulala.

Twende zetu City Pub tuianze weekend rafiki 🥂

Kwani umerudi Mbeya lini? I thought you are still in Dar es Salaam.

Una kilogramu ngapi za hayo Maparachichi nikubebee?
 
Kwa kweli imeniharibia ratiba, sikuwa na ratiba ya kulala Mbeya ila sina budi kulala.

Twende zetu City Pub tuianze weekend rafiki

Kwani umerudi Mbeya lini? I thought you are still in Dar es Salaam.

Una kilogramu ngapi za hayo Maparachichi nikubebee?
Nibebee unga mkuu.

Debe 2 tu.

City pub wewe kunywa tu,
Ungenitafuta mapema labda,ila siyo kama hivi kwa alternative option.
 
Ikiwezekana kapigeni tu vyombo kwanza mkuu.
Kuna gari imeziba njia hapa darajani katikati ya Iyunga na njiapanda ya Itende.
Na pale hata kupita pembeni haiwezekani maana kulia na kushoto ni korongo lisilo hata na uzio.

Shalom greencity
Shalom Mbeya
Jiji kubwa ila ina Barabara moja tu,tena iliyo finyu mno.

NB
Hivi si ni wewe ulisema utanipa lift?
Mbona unapita kimya mkuu??

Nipakilie basi japo maparachichi yangu,ntayakutaga mbezi.
Daah ulivyosema Shalom umenikumbusha jina la mtoto wa aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya na sasa Dar, Amos Gabriel Makalla.

Huyo Shalom tumesoma naye shule moja class moja na alikuwa rafiki yangu sana ila hata siku moja hatukuwahi jua baba yake ni mtu mkubwa maana alikuwa hatumii hilo jina la Makalla alikuwa anatumia tu Shalom Gabriel Amos. Nilikuja kujua mwenyewe nikiwa chuo baada ya kuconnect dots na nilikuwa tayari nishapotezana naye itakuwa labda chuo alienda kusoma nje.
 
Kuna watu huwa hawapendi mbwembwe.
Watu wazito tu na hawasemi.

Alikuwa na jina zuri.
 
Kuna watu huwa hawapendi mbwembwe.
Watu wazito tu na hawasemi.

Alikuwa na jina zuri.
Yeah kwao wote wana majina mazuri aliniambia ana mdogo wake wa kiume anaitwa Elohim. Kwao wako wawili tu.

Hakuwa na mbwembwe za kutaka tujue baba yake ni nani sema lifestyle yake alikuwa anaonesha tu kuwa huyu ni wa kishua. Sema ndiyo hatukujua kuwa baba yake ni mmoja wa wanaopigiwa salute tulijua atakuwa tajiri mmoja tu asiyejulikana.
 
Back
Top Bottom