Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Mpaka atakapojua you are not the real thing 😏😄😄aiseee,huyu ameshakua rafiki yangu.Damu zetu zimeendana
Mpaka atakapojua you are not the real thing 😏😄😄aiseee,huyu ameshakua rafiki yangu.Damu zetu zimeendana
Mpaka atakapojua you are not the real thing![]()





jicho limenona hilo 😋😋
Njoo nikupige mimba mapacha, nikuoe.Handsome
Nikiona mtoto napata nguvu ya kuzaa .
Haha...Jicho la samaki tamu sanajicho limenona hilo![]()
Jicho la samaki tena aaaaah! mchuzi unachuruzika tu hadi kwenye kiwiko 😁😁😁Haha...Jicho la samaki tamu sana
Kwema lakini mkuu
Akhsante kwa ofa mkuu.Njoo nikupige mimba mapacha, nikuoe.
What a coincidence. Niko naangalia The Karate Kid III hapa then nakutana na hii comment yako kuhusu Mr Miyagi.
Haha stop lying to children (in Jamie Foxx's voice)View attachment 2015566




Huyo mwenyewe kabisa,mjomba angu MiyagiYesu au?, maana walokole hamkawiagi kumsingizia Yesu mume wenu.Akhsante kwa ofa mkuu.
Wa kunipiga tayari yupo.
Nikusokotee leta utanionaHebu tukuone na wewe mtoa assist za kusokotea watu bange.
The world of choice!Yan kuna mmasai mmoja uwa namzinguaunaongeaje kilugha kwenye muktadha uliobeba watu mbali mbali.




Na wewe unapuliza Depal???Kabla sijawahi fika Arusha nilikuwa naona wavuta bangi ni watu flan wa ajabu sanaa ila sasa.....




Vizuri sana kama ni salama kabisa mkuuJicho la samaki tena aaaaah! mchuzi unachuruzika tu hadi kwenye kiwiko
Salama kabisa mkuu wangu
Huyohuyo mkuu,kama alivyotoa muongozo mhe wetu bungeni kuhusu.Yesu au?, maana walokole hamkawiagi kumsingizia Yesu mume wenu.
Tuone kwanza ulivyo halafu nipime kama unaweza nisokotea.Nikusokotee leta utaniona
Nilikuwa nakuwa mpole sana hadi kesho nakuwaga ivyoNihadithie first day yako..
Ikiwezekana kapigeni tu vyombo kwanza mkuu.View attachment 2015576
Foleni ya Mbeya - Tunduma eneo la kuanzia Ituta hadi Kadhege. Imelazimu kupaki na kusubiri muujiza wa kupenya.
Nadhani dsm tutaingia kesho kutwa![]()