kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Angilia vizuri utaona kvantMbona sioni pombe?
Ina maana nyie wote mnakunywa soda?
Angilia vizuri utaona kvantMbona sioni pombe?
Ina maana nyie wote mnakunywa soda?
Nimeshaiona hapo chini.Angilia vizuri utaona kvant
Na bangi nyingi haujaonaNimeshaiona hapo chini.
Nilitaka nishangae sana,,vijana kabisa wote mnakunywa soda tu,!??
Nazo unavuta?Na bangi nyingi haujaona
Nawanyongea tuNazo unavuta?
Nabhona faza
Haha..Obhona keyi faza?Nabhona faza
Unajua maana ya kuranduka? 😂😂😂
Sasa unakwama wapi kunenepa?
Yan kuna mmasai mmoja uwa namzingua 😂 unaongeaje kilugha kwenye muktadha uliobeba watu mbali mbali.Nabhona faza
Kabla sijawahi fika Arusha nilikuwa naona wavuta bangi ni watu flan wa ajabu sanaa ila sasa 😊 .....Na bangi nyingi haujaona
Mwamba pembeni hapo jicho limeshaanza kulegea

Sasa hivi unawaonaje?Kabla sijawahi fika Arusha nilikuwa naona wavuta bangi ni watu flan wa ajabu sanaa ila sasa.....
Nimebadili mtazamo baada ya kuona na classy pple wanapuliza na wako vyedi tu..Sasa hivi unawaonaje?
Safi sanaNimebadili mtazamo baada ya kuona na classy pple wanapuliza na wako vyedi tu..
Najua vizuri sanaUnajua maana ya kuranduka?![]()
Ambae hajaonekanaSafi sana.
Wewe ni yupi hapo?