kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Peace and love vipi unagusa kitu?Kabla sijawahi fika Arusha nilikuwa naona wavuta bangi ni watu flan wa ajabu sanaa ila sasa [emoji4] .....
Peace and love vipi unagusa kitu?Kabla sijawahi fika Arusha nilikuwa naona wavuta bangi ni watu flan wa ajabu sanaa ila sasa [emoji4] .....
MmmmmmmhSasa unakwama wapi kunenepa?
Sema 😀Mmmmmmmh
Nikisema utaweza?Sema [emoji3]
Nihadithie first day yako..Peace and love vipi unagusa kitu?
Hebu tukuone na wewe mtoa assist za kusokotea watu bange.Ambae hajaonekana
Handsome [emoji173]
Muda ukifika fanya mwaya 🙂Handsome [emoji173]
Nikiona mtoto napata nguvu ya kuzaa .
Muda umekaribia.Muda ukifika fanya mwaya [emoji846]
Kidunchu tu [emoji4]
Dogo kaona jina lako ananiuliza eti namjua Mr Miyagi ??? Wa Cobra Kai??? Nimemwambia yeahh...kasema anataka kukutana na wewe face to face [emoji16]
Karibu sana...I'll be here !!🙂Muda umekaribia.
Nitakuja kuchukua notes.
Una katoto kazuri mno[emoji173]
Kazingua sana 😂😂😂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Dogo katisha,naunga mkono hoja ya dogo
Mr Handsome