Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mzee akukute hata ile mouse unaichezea,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alinivuruga nkaaza kupiga yowe kama ka mbwa kanakata roho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣
Sasa we kwanini ulikuwa unaleta utukutu na unajua ukigusa computer ni kesi???

Ila bongo bana....
I bet kama mlikuwa na TV basi ilikuwa na kakabati kake 😆😆
 
😁😂😂😂
Mi pia ni digital inmigrant kama wewe...
Nimemiliki simu voucher inaitwa dola...acha wewe...
I don't believe it 😛😛....but thañks for reminding me of my silver Siemens 😅😅
images (3).jpeg

Hiyo vocha ya dola ilikuwa inafananaje??
 
Back
Top Bottom