Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umgabho om-Rwanda,
akili kubwa in the whole great lakes region
JamiiForums1301725129.jpg
 
#WayBack
Enzi za Floppydisk [emoji334]
View attachment 2013043
[emoji2962][emoji2962][emoji2962][emoji44][emoji44] duuuuh we muhenga aisee hadi [emoji334] ulitumia,,,

Machine nnalokumbuka lilikuwa compaq lina case ya bati zito kinomaaa af mouse ina ball chn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😁😁
Kiuno flani amaazing...
😜
Lizzy
Nimepita kwako leo...
Seriously...

Nilifika hadi kwenye mnara wa simu, nyumba yako toka kwenye mnara inakuwa kusini /kusini mashariki...

Bado huamini siwezi kukudukua?
😁😂
😁😁😁😁 Siamini mpaka nione kwa mijicho yangu 🤓

Sa mbona hukuja kutusalimia??🙄🙄🤨
 
[emoji2962][emoji2962][emoji2962][emoji44][emoji44] duuuuh we muhenga aisee hadi [emoji334] ulitumia,,,

Machine nnalokumbuka lilikuwa compaq lina case ya bati zito kinomaaa af mouse ina ball chn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie muhenga sana so muwe mnanisalimia salimia siku moja moja ☺☺

😆😆😆😆 noma sana. Alafu wires everywhere....🥴
 
Mie muhenga sana so muwe mnanisalimia salimia siku moja moja [emoji5][emoji5]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] noma sana. Alafu wires everywhere....[emoji3061]
Sasa mzee akukute hata ile mouse unaichezea,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alinivuruga nkaaza kupiga yowe kama ka mbwa kanakata roho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom