With mag ni almost 3 kig,,,hyo ni very light assault riffleHivi uwa vina uzito gani? Maana siku nakashika nilifeel uzito flan
Aisee!Day well spent
View attachment 2014389
Are you single? Maana natafuta mchumba.

Aisee!
Photographer kakutendea hakiDay well spent
View attachment 2014389
Hello Priscallia, you look stunning!Hello out there…
Dah, I'm unlucky. Nime search mpaka sana i feel like i am hitting rock bottom aaarrgghh.Nop boss, currently am in a strong relationship, hata hivyo kuna mabinti wazuri humu ndani especially kwenye huu uzi. I do pray upate mmoja![]()
Dah, I'm unlucky. Nime search mpaka sana i feel like i am hitting rock bottom aaarrgghh.
Thanks. Hauna mdogo labda uni connect nae 😊😊You are a man, usikate tamaa keep on searching nakuombea utapata mdada mzuri tu
Unatudodorishia sababu unajua hapa wote hatuna DStv 😁😆Sema huyu lamata yuko seriously na kazi View attachment 2014580
Hahahaha...Unatudodorishia sababu unajua hapa wote hatuna DStv 😁😆
Huyu ni Van Vicker? Aisee hii ni ya leo mkuu?Sema huyu lamata yuko seriously na kazi View attachment 2014580
Naona ndo mwenyewe...huyu lamata naanza kufatilia kaz zakeHuyu ni Van Vicker? Aisee hii ni ya leo mkuu?
Maana nimeiacha katikati nikaingia zangu kulala ya leo niliona kama siielewi! Ina maana huyo ndiye Mr Smile ambaye watu wanamsubiri kwa hamu kumjua ama?
Leah ni level nyingine aiseeNaona ndo mwenyewe...huyu lamata naanza kufatilia kaz zake

