Selfika na JF: Snap it. Show it

Yangu ina vent mwalimu so please don't worry 🙂

Embu naomba ni-digest hizo nondo for a minute before I drop my 2 cents.

Ila hiyo namna ya kuwa mbia wa tuma kwa namba hii kijanja zaidi sounds like something I could get ďown with 🙈🙈 so....more emphasis on that will be highly appreciated mwalimu 😜
 
I see.....

Inabidi nao wawe wajanja kukuzidi 🤓
 
Kama sababu moja wapo ya kujiunga humu ni kupata maarifa sasa hilo jukumu ni langu la kukufundisha jinsi ya kuandika. Acha utoto hapa JF watu wanajielewa na hakuna anaeandika kitoto kama wewe.

Ndio mimi sikuogopi nakuchana ukweli jirekebishe andika vizuri kama mtu anaejielewa sio unaandika hovyo hovyo tu kama unaandikia watoto wenzako.

Jambo langu ndio hilo tu wala sina jingine. Rekebisha uandishi wako. Unakera, unaboa wala usifikiri watu wanapenda. Unajichoresha tu unavyoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…