Mchezo mzuri huu, nmekumbka mbali sana yaan, nlikua kiungo wa team mie, nkizungusha kat kat pale no 8,bas woyoooooooh. [emoji23][emoji23]Madogo wakisakata kabumbu mchangani.View attachment 2009101
Wapi hiyo now Mr? [emoji23][emoji23]Natokea Dom ndo nimekatiza msamvu hapa. Ntafika hapo kwa ndugu Makala kabla jua halijazama
Family [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji7][emoji7][emoji7]
Babuuuh nakuja kuchukua hii,
Vipi bado unasakata au viungo vishakomaa [emoji23]Mchezo mzuri huu, nmekumbka mbali sana yaan, nlikua kiungo wa team mie, nkizungusha kat kat pale no 8,bas woyoooooooh. [emoji23][emoji23]
I rest my caseNaamini mkuu, wanyama wamekosa kuongea tu, thats why wana uwezo mkubwa sana wa kuhisi hatari hata kabla hatujafahamu...
Ukiishi nao vyema, utanufaika na kujua mengi..
Asante mwaya...missed you too πNlikumic xan mwenyej, af weka na selfie ya menyu, tumbo lang lipate kupona, [emoji39][emoji39]
Nimepungua bana π₯΄π₯΄Naona nyama zinakujia sasa
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] hakika tumbo langu limepata shibe,Asante mwaya...missed you too [emoji846]
Hapo vipi??[emoji1484][emoji846]
View attachment 2009406View attachment 2009407View attachment 2009408View attachment 2009410View attachment 2009411View attachment 2009412View attachment 2009413View attachment 2009415View attachment 2009416View attachment 2009417View attachment 2009414
Huhisi kichefu chefu? Mweeeeh