Selfika na JF: Snap it. Show it

wanywa pombe nawajua vyema sana, kna brooh wa damu nae anapiga ulabu xan, yaan ujenzi alianz 2017 kamaliza kila kitu mwaka jana,. so kwamba hela hana au asngeweza kumaliza mapema ila tyuuh n ulabu ndo 7bu.
 
mnaokunywa pombe mna nn nyie? Haya maneno ndo km huyo mwenzio huyasemaa, eti bar ndo site ya michongo mbali mbali,

Na pombe zieendelee,
 
nmecheka mbavu cna hapa, hebu niache na ulanzi wangu wee, na nkitaka nitibuke napiga ulanzi wee nkilanduka tyuuh watu kaz wanayo, uwiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…