Selfika na JF: Snap it. Show it

Akawaita afande wa 2 naye wa 3. Bhana bhana nilichokipata sku hiyo stasahau had sku naingia shimon mazima,
Nmetoka hapo nko hoi, nanuka ki mait mait tyuuh, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3]!!!
 
Nimecheka wakati nakujibu 🀣🀣🀣

We mtoto rudisha simu kwa baba πŸ˜‚

Whozu ashtakiwe jamani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba app ya Snapchat huijui? [emoji23][emoji23]

Ndio nimeshtuka sahivi kumbe pic haina emoji [emoji23][emoji23]
I mean umeutendea haki uzi
Umekwenda kama kichwa cha uzi kinavyosema"selfika na jf,snap it show it"

Picha bila emoj ndio ushujaa sasa tunaoutaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza hasira kidogo hahahaah.

Ndio mjini aiseeee poleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…