Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
😂😂😂 kama nayazoom maendeleo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani huu moyo ni haueleweki jamani
😂😂😂 kama nayazoom maendeleo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani huu moyo ni haueleweki jamani
Bila bila shoo🤣🤣🤣😂😂😂 kama nayazoom maendeleo.
Nishatapeliwa hapa😅😅😅Nikigeuka nitaku'disappoint 😂 juu usoni 😎
Nitatuma PM 😎Nishatapeliwa hapa😅😅😅
3 kavu inakuhusu wewe na huyo shoo wako.Bila bila shoo🤣🤣🤣
Tuombeane kwakweli
Half nina jambo, nakuja chemba3 kavu inakuhusu wewe na huyo shoo wako.
Chaap mwendo wa chopa. 🤣🤣🤣Half nina jambo, nakuja chemba
Vipi tena boss![]()
Huko faraghani ni ibadani.Sinawahi kulisikia hili mkuu. Huko faraghani umemaanisha nini?
Wanapatikana wapi Dar? Wana kanisa? Mchungaji? Askofu?
Dah hivi kumbe upo kwenye 90!Watoto wa 95 kuja juu mnasumbua sana
Karibu sana mkuu.Ahsante kwa mwongozo mkuu
Ningependa kwenda faraghani na wewe siku moja![]()
Safi sana.Hakuna tatizo mkuu. Ukianza kuingia tutajikita wote pale faraghani. Cadet zipo. Pia nikizunguka vizuri hapa ndani sikosi kadhaa za kitambaa
Ya maziwa ndo napenda sana mie,



Eeeeeh tunaheshimika kupitia hii kitu,
"Yaan wee hufanan na kusoma somo hili" nmekumbuka mbali sana.
Maths 4 life,![]()



