Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Kama ni muhimu basi inabidi kufuata njia nyoofu kuipata.Elimu ya darasani ni muhimu pia, na njia nyoofu ya kutusua maisha.
Mfumo wetu hauruhusu kuingia na desa.kwa kweli.
Kama wamesoma vizuri kwanini wadisco?cc ukiwa lect, hapanaa wanafunz wote n kudisco tyuuh.
Yaani kila nikitaka kupost mnanifokea na viuno vyenu nyigu. Namalizia tizi la kurudi usichanani
wee nae khaaah
Uwata siyo dhehebu.Kna dhehebu flan wao wanavaa sket za marinda tyuuh, jina silijui vzur, sjui UWATA au sjui EFATHA.
Kuna watu wana ujasiri sana aiseeSasa huyo mamba tu unaogopa?
Katika pitapita tulikuta chatu amembana mbwa, nilirekodi video ni kubwa siwezi share...
Yule mbwa ili kumuokoa ilibidi tuanze ku deal na chatu, later huyo jamaa akaja na panga akamchinja chatu... same day nikakutana na mamba.. hio place kuna kenge,chatu na mamba...
View attachment 2003003
😂😂😂 nina kitambi kikubwa tu muulize Saint AnneWeee usinitanie. Mnafikiri siwaoni humu; viuno nyigu, vitumbo utafikiri hamkulagi, vishundu kuleee
Nakusalimu mwafrikaAah
Niambie ilianza vipi? Najua haikuanza ghafla..
Zipi dalili maana hata mafua uanza na chafya
Kivipi me kakako na ulishindwa kuniambia?
Ukafanya siri ina maana kimsingi nawe ulitaka
Hip-hop is the streets
Yeeeh,, nmewachanganyasio dizasta anaitwa SONGA
Alinkosha pale anasemaUsiku kaimba Songa, Dizasta ni mtu mwingine.
Anarap mastory ya kibabehii inaitwa hatia 2 ya huyo Dizasta.
Wanasema mwanaharamu
Haijui laana 'kashalaanika
Nasikitika kuwa haujui
Kama naonekana ka'
Kondoo kwa mchungaji
Lakini...lakini kwa ndani
Mi ni chui mama
Kwa mfano nakuita mpenzi
Na tabasamu zuri wakati
Najua kuwa sikupendi
Kuitoa hii siri ndo siwezi
Kwahiyo nitakudanganya
Mpaka ifike siku niutimize
Ushenzi
Keep the good music alive
Leniepita kidogo.
Muhuni anaanza na kauli ya kishujaaKikaoni imejaa madharau kwa yule husbae
"sikuhitaji mambo ya kugawana madhehebu waumini dhaifu wana hama hama kama wehu"Aisee Kuna dude linaitwa KANISA la dizasta vina ni kwikwi
Kuna ile "wimbo usio bora" anasemaje
Ungemshika hata mkia tu and 100 others
Aiseeee!!
Sure mkuu...
Kuna mzee jirani yangu ni askari (tpdf) mstaafu, ana mkono mmoja, huyu mzee alinipa kisa cha yeye kuwa na mkono mmoja ni ajali ya gari..
Alikuwa anasafiri na alikuwa siti ya dirishani, gari ikapata ajali kajikuta mkono umekandamizwa na gari halafu mfupa umevunjika wote, kilichobaki ku handle mkono ni ngozi na muscles tu, alichofanya ili kutoka eneo la tukio haraka, alivuta ule mkono akauviringisha mpaka akaacha mkono wake pale umekandamizwa na gari...
Kuna watu ni majasiri kwa kweli, hii hata mie nisingeweza asee... unaacha mkono wako unaungalia... ni huzuni sana..
Hahahaha
Usinichekeshe... kuna story moja ya kichekesho inakuhusu sana...
Kuna jamaa alikuwa anaumwa sana halafu ilikua ni village, sasa kufika night homa ikazidi ikabidi majirani wampeleke hospital huo usiku yapata saa 8, basi wakachukua kama kigunia flani wakatengeneza kama machela za kubebea wagonjwa, safari ikaanza pori kwa pori, njia kwa njia kuitafuta zahanati kuokoa roho ya mgonjwa mahututi.
Ebwanaeehh kufika mbele, si wakaona simba!!! Yupo pembezoni mwa njia halafu anawacheki tu, wale wabebaji wakaona ili kunusurika ni bora tumtoe huyu mgonjwa sadaka, simba ana njaa hatari anapiga mihayo tu.
Wakaona wasipo mtoa sadaka, simba atawakamata mmoja wao, wakahesabu 1, 2, 3 fyuuuu!!! Wakamrushia mgonjwa kule simba aliko halafu wakatoka nduki hatari...
Basi walikimbia vibaya sana, wakafika nyumbani wamechoka balaa, kuangalia mlangoni mgonjwa waliyemtupa ameketi mlangoni anakunywa na ujiamefika kitaaambo...anawauliza mbona mmechelewa hivyo?
Kumbe jamaa kwa uoga wa kuliwa na simba aliporushiwa alimkwepa simba akapata nguvu, akakimbia akawapita wale wazima wote
Nahisi wewe ndio yule mgonjwa..
Nb: not true story
Ukiona sehemu mtu anauza unistue na Mimi
Shida ya private car ni foleni njiani.
Nguvu ya mwendokasi ipo kwenye kutokuwa na foleni njiani .ila Kuna madereva sijui waliwaokotea wapi!sijui ndio wanajifunza kuendesha!!wanakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app