Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmmmh yaani ningepigwa na shoti na kuanguka chini[emoji23],yaani kama vile mie ndo mbwa niliyebanwa na chatu
 
[emoji1787][emoji1787] kwa ali ilivo itabidi nitafute gari la laki tatu niepukane na ii kadhia
Ukiona sehemu mtu anauza unistue na Mimi[emoji16]

Shida ya private car ni foleni njiani.
Nguvu ya mwendokasi ipo kwenye kutokuwa na foleni njiani .ila Kuna madereva sijui waliwaokotea wapi!sijui ndio wanajifunza kuendesha!!wanakera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namalizia mazoezi ya tumbo, lilimwagika sana jamani. Soon nitakuwa kama hawa wadogo zangu afu nitapost picha kama zoteeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kila nikitaka kupost mnanifokea na viuno vyenu nyigu. Namalizia tizi la kurudi usichanani[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh mbna hatar sana khaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ningekufa hapo hapo ndani ya gari, badala ya pale kichakani.
 
Yaani[emoji23]. Huyo mbwa tu namuagopa mfano hakuna asee[emoji23],kama ni mie ningemuona huyo lion asee kwanza ningesababisha hatari[emoji23]maana ningepiga yowe
 
kwann mlimuokoa mbwa??...mlitaka chatu afe njaa mngeacha eco system i take place
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…