Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,928
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umekuja na moto sana, weekend ulikuwa wapi??
Siamini unanigeuzia kibao!!
Basi tufanye yameisha babe.
I love you[emoji173]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umekuja na moto sana, weekend ulikuwa wapi??
Jamani 😀😀 iweke tu bila sticker. Au crop..Njoo chemba unieleweshe namna ya kuweka stickers Kwa picha Kuna picha nataka kuweka
Laini sana hizi[emoji28]Hizi nimekunywa sijalewa kwani siyo pombe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulichepuka then "I love you"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siamini unanigeuzia kibao!!
Basi tufanye yameisha babe.
I love you[emoji173]
Angekuwa mpole angepata list nzima+ kisababishi.Dunia ina mambo hii jamani!! Watuhumiwa nao wanatuhumu wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Mashabiki wa Simba tusisemwe tafadhali.Haya macho aiseh,, Tutaweka ela bank kwa hali hii ... Anyway nice pic.. Inafaa kabisa kua tulizo kwa mashabiki wa thimba koko![]()
Chaaaa!I am here darling...😉
Duuh huoni chake kilivo kizuri! Acha kufananisha vichwa vya watu na vitu vya ajabu!Kichwa kama cha baba yako!
Hii mpya ni nzuri pia ila shida ni mazoea.Hapana asiirudie, hii mpya ndio tamu.
Sikuchepuka babe, nilikuwa nyumbani tu. Wewe ndio sijui ulikuwa wapi[emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulichepuka then "I love you"
Bwana bwana!! Haya mambo[emoji1787][emoji119][emoji119]Angekuwa mpole angepata list nzima+ kisababishi.
Tatizo alituhumu wengi, pia akajisahau ye mwenyewe ni chanzo kwa namna flani.,.... Sad
Yule, yes yuleee. Ni anakupenda' hisia ila. Ni kama anatafuta gear ya kupita nayo.!! DK
Jmn msikazie sana watu, mnaumiza wengine.
Anyways [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nahitajika kwa muhindi [emoji2210][emoji2210][emoji2210]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dunia ina mambo hii jamani!! Watuhumiwa nao wanatuhumu wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kama mazuri vile[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibayaaaa.Duuh huoni chake kilivo kizuri! Acha kufananisha vichwa vya watu na vitu vya ajabu!
Ni kweli.
Yaani hapa nacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana bwana!! Haya mambo[emoji1787][emoji119][emoji119]
Ulikuwa busy na maombi[emoji5][emoji5]Mbona hukunistua jamani[emoji2297][emoji2297]