Alooo me kuna mpuuzi m1 ningehakikishiwa kwa asilimia zote hakiii nilikuwa nalala nae mbele. Sema tu yule binti alijifanya haoni ile PM mpaka nilipopoa.
Nilisikia eti wana group sijui ka mtandao wakiitaka ni hawaikosi afu at the end wanatafuta mtu wa kumtupia msala kujiswafi.