Ukirudi from ughaibuni uniambie nifanye jambo😁😁😁
Embu lead by example 😌
manzi wa mkoani ni wa mkoani tu.haya hayo maziwa kwanini umepiga nayo picha babe😂
Nzi ni nyuki mjingaView attachment 1990048
manzi wa mkoani ni wa mkoani tu.haya hayo maziwa kwanini umepiga nayo picha babe![]()







Sasa ile nayo ni simu? Simu watoto wanafunga kamba wanavuta kama Gari wakichoka na wewe ndio uifute mavumbi kisha uingie JF














🤣🤣🤣🤣 Eti ughaibuni 😄Ukirudi from ughaibuni uniambie nifanye jambo
😅nahisi hapo chini una mfuko wa ma parachichi
😅😅😅 Perfect🤣🤣🤣🤣 Eti ughaibuni 😄
Kesho kutwa tu so anza mapema 🙂
@Hornet ulale au nikutishie na huyu common house geckoAngejiongeza angetoa kitu kitamu kuliko asali