Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilisoma sehemu kwamba psychologist wanaweza tumia picha kufahamu personality yako, kuna picha wanaweka inakuwa confusing then unaulizwa unaona nini?

Sasa hii picha umeweka nimeona ndege Kwanza, baadae ndipo nikaona sura ya mtu😁😁😁

I think ni moja ya hizo picha hutumia.
 
Hakuna sehemu nimekataa, that's why nikasema mwanamke kumuuliza mwanaume kuhusu suala zima la financial status kabla ya mahusiano it's owkay, nimezungumzia hili suala zaidi ya mara moja.

Mwanamke anayekupa taarifa mwanzoni yupo fresh tu, hana shida, nilichozungumzia ni wanawake waigizaji.. kila kitu kwenye mahusiano lazima kiwe real.

Issue za uvivu ni mambo yako binafsi unataka kuyaweka and sipendi tufike huko😊, hii issue usichukulie personal ni mjadala wa kawaida tu, unless hujazoea.

Mimi najituma, sina uvivu..

Sikujua kama issue itakuwa sensitive kiasi hiki😁 na sikusoma hizi cmmnt kwa umakini..

Thanks
 
Yaani umasikini unafanya Watu waone kuvumilia shida ni sifa


Sent using Jamii Forums mobile app
Usichukulie huu mjadala personal, hi issue ilianza jana kati yangu mimi na yule dada anaitwa sawima I think, Ali reply nikamjibu..

Sasa nashangaa unachukulia issue very personal yaani utasema jf nzima ulikuwa unajadiliwa wewe, ambae tulianza nae mjadala alinielewa, ila sasa ndugu yangu unaanza na kutusi watu..

Wewe si wa kuita mtu masikini, yaani hujafika hio level kabisa😂, una miaka kama 20 mbeleni ya kujituma sana ndipo uite mtu masikini.. na hapo ni probability..

1st of all hufahamu status za watu humu, hufahamu vingi tu, hata hao wanaume unaosema umasikini unasabisha waamini upendo unapatikana kwenye shida akiwemo my bro wapo sahihi na si masikini..

Sasa we tajiri una rolls Royce kwako?
Una mshahara more than 5m/month?
Unamiliki company?
Una Private jet?
Una bilioni ngapi bank?

Acha ujinga wako kuita watu majina hawastahili..

wealthy individuals kama akina Billgate are sharing their money and resources with the poor.. hawana hizo issue za kujimwambafy, personality yako inajidhihirisha... 😊😊 Huu mwaka toka umeanza umetoa sadaka kwenye vituo vya kulea watoto vingapi Mrs Billionaire..?

Kaa ujue poor people are not stupid, they're not criminals, they are human being.. utofauti wamekosa tu kazi na kipato kizuri Mrs billionaire 😂😁

Unapo mpa mtu sifa si yake ni kumtusi, ni sawa na mwanaume aitwe mwanamke au mwanamke aitwe mwanaume...

Kwenye akili yako kuhusu huu mjadala kuna unachoona ni right na upo sahihi na kuna unachoona ni wrong hayupo sahihi, dharau zako ni kumuweka mtu ambae yupo against na wewe kwamba yupo wrong(which is right) na sababu ya yeye kuwa wrong ni umasikini(dharau)..

1- Umedharau masikini
2-Umetusi/Kutoa sifa haistahili kwa muhusika.

Utakachonijibu sintokujibu kwa sababu uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo..

Jiangalie sana siku ukipata pesa usije temea watu mate😂😂..,🤟🤟🤟


G'night..
 

Mkuu...
 
Wanawake wa hivi naomba kurunzi la watts 2000 niwatafute
 
Naona umepanic mkuu.
Samahani kama nimekukwaza.

Nimejibu kiujumla Kulingana na jamii yetu inavyochukulia mambo wala sijajibu kwa Mtu mmoja,
Ni kama jinsi wewe tu unavyosema wanawake wapo hivi na hivi..
Hiyo haimaanishi wanawake wote wapo hivyo.
Sikujui wala haunijui,,,siwezi Anza kupiga hizo ramli kukujibu hivyo na hamna mahali nimesema and 100 others ni masikini.
Kwahiyo usianze kujipachika mtu binafsi au kupachika ndugu zako kwenye majibu yangu ya jumla.
Hata comment yangu nimeandika kutokana na alichoandika niliyemquote.
Nashangaa umepanic na kujipachika kwenye comment yangu na kuanza kumwaga povu.



Naona umetoa category za utajiri mkuu,
Hongera sana...
Lakini utajiri nadhani kila mtu ana namna anaucategorize.

Lakini pia miaka yangu 20 ama yako30 havikuwa vitu vya muhimu kuingizwa katika comment yangu ambayo ni general .
I am no body
,na usinipigie ramli za kuja temea watu mate... Sina ndoto hizo hata nikifika huko.
Akhsante.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake tutafika peponi tukiwa hoi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa hivyo basi wasingekuwa wanaoa.

Niliona kule MMU,wanaona kama ndoa ni zawadi tu kwa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…